PostGE2025 Tuorodheshei hapa mikoa kondoo yenye watiifu ambayo ilikuwa imepoa 29 October

PostGE2025 Tuorodheshei hapa mikoa kondoo yenye watiifu ambayo ilikuwa imepoa 29 October

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kilimanjaro
Kagera
Katavi
Rukwa
Kigoma
Iringa
Njombe
Ruvuma
Morogoro
Singida
Zanzibar
Mtwara
Lindi
Tanga
Dodoma
Manyara
Tabora
 
Hiyo mikoa mingine hawakujua waanzie wapi! Walibaki kusikilizia kinanuka wapi.
 
MO29 kiliwaka
Dar
Arusha
Mbeya
Shinyanga
Mara
Songwe

Mikoa michache ila imetikisa na kubadilisha historia ya nchi hii, uwa najiuliza kama Polisi wasingepiga watu risasi kungetokea nini?
Hii tarehe nilikuwa Mwanza. Ebana eeeh ni hatari zaidi ya hatariii. Hali ilikuwa mbaya
 
Kilimanjaro
Kagera
Katavi
Rukwa
Kigoma
Iringa
Njombe
Ruvuma
Morogoro
Singida
Zanzibar
Mtwara
Lindi
Tanga
Dodoma
Manyara
Tabora
Ondoa Kilimanjaro, kilinuka pale town,

Ondoa Iringa na Njombe, zimebadilika siku hizi
 
mwanza..ilikuwa noma..kuna maeneo ilipita wiki bila polisi kukanyaga
 
Tuendelee kwenye mafanikio yaliyopatikana katika hiyo mikoa ya "kibabe" kama inavyoitwa. Maandamano Yale ya vurugu yaliwapatia nini' Cha maendeleo?!!!
 
Mimi naita mikoa iliyogoma kushiriki ule ungese kuwa ni ya kijanja mnooo. Ule ufala haukuwa wa kushiriki kingesengese eti kwa hamasa ya kimambi na maria (pumbaaavu😏😏😏)......Huku hawa wangese wanaoshusha mada hizi wakiwa vyumbani mwao wanasubiri wajinga wajinga wajipeleke huko Kisha wao waanzishe mada kama hivi kwa ajili ya kujipatia umaarufu mserereko.
 
Back
Top Bottom