PostGE2025 Tuorodheshei hapa mikoa kondoo yenye watiifu ambayo ilikuwa imepoa 29 October

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
MO29 kiliwaka
Dar
Arusha
Mbeya
Shinyanga
Mara
Songwe

Mikoa michache ila imetikisa na kubadilisha historia ya nchi hii, uwa najiuliza kama Polisi wasingepiga watu risasi kungetokea nini?
Geita,kahama,mwanza,iringa,tunduma,songwe
 
MO29 kiliwaka
Dar
Arusha
Mbeya
Shinyanga
Mara
Songwe

Mikoa michache ila imetikisa na kubadilisha historia ya nchi hii, uwa najiuliza kama Polisi wasingepiga watu risasi kungetokea nini?
Ukiqcha dar hakuna mkoa uliokiamsha kama mwanza...
 
Wewe jamaa acha hizo
Vingunguti
Tabata
Mbagala
Buguruni
Ubungo haya maeneo yalikua na fujo hatari... Vingunguti,Tabata na Buguruni nilishuhudia kwa macho yangu.

Kuhusu kura wewe kitongoji kina watu 500 walijiandikisha wanapiga watu 10 sasa hapo uchaguzi gani huo? Bado pia kuna video zimesambaa sana wasimamizi wakiwaelekza makarani kupiga kura wenyewe karatasi na kuzijaza.
 
MO29 kiliwaka
Dar
Arusha
Mbeya
Shinyanga
Mara
Songwe

Mikoa michache ila imetikisa na kubadilisha historia ya nchi hii, uwa najiuliza kama Polisi wasingepiga watu risasi kungetokea nini?
Mwanza, Ruvuma (Songea) pia
 
Maandamano yajayo yatakua makubwa yatasambaa zaidi ya mikoa hiyo.
 
Manyara huu mkoa vijana waoga sana wanachojua bodaboda ni kukaba watu usiku
 
Tanga waliwahi mapema sana kudhibiti kwasababu vurugu zilianzia Makorola mgombea ubunge wa Act aligomea utaratibu unaoendelea kwenye vituo
Likapigwa bomu za machozi za kutosha
Wakawahi kudhibiti soko la Tangamano na ngamiani
Mitaani watu wakasambaratishwa.
Kwahio niwapongeze wangechelewa tu hali ingekua mbaya kwasababu watu walikua Wana wasiliana na wenzao wa dar
Kwahio kinachoendelea kule kiliwaoandisha jazba
 
Wajinga wamekutana next time jaribuni tena kuandamana tuwapige risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…