Tupac: "Keep Ya Head Up" dedication kwa Latasha Harlins

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
1,213
Reaction score
1,918
Wengi wenu hamjui yeye ni nani lakini yeye ni muhimu. Latasha Harlins. Mnamo 1991, akiwa na umri wa miaka 15, alienda kwenye soko lake la chakula linalomilikiwa na Wakorea na hakufanikiwa kutoka kurudi kwao akiwa mzima. Mke wa mwenye duka, Soon Ja Du, alidhani Latasha kaja kuiba chupa ya juisi ya machungwa na mkwaruzano kati yao ukatokea.

Du alimshika Latasha na kuishia kusukumwa chini. Du kisha akaenda kuchukua bunduki yake na kumuelekezea Latasha. Latasha aliinama, akachukua juisi ya machungwa, na kuiweka kwenye counter. Latasha aliwa anaondoka dukani, Du alimpiga risasi nyuma ya kichwa kwa umbali wa futi 3, na kumuua mara moja. Du alijaribu kudai kujitetea, lakini kulikuwa na watu 2 walioshuhudia na kamera ya usalama ya duka ilionyesha vinginevyo.

Mahakama ilimtia hatiani Du na kumshauri hakimu ampe kifungo cha juu cha miaka 16. Du aliishia kuhukumiwa saa 400 za huduma ya jamii, na kuwa chini ya Uangalizi kwa miaka 5, na faini ya $500, pia jaji alisema ingawa Bi. D alitenda isivyofaa, matendo yake yalikuwa ya haki. Jaji Joyce Karlin anasema kuwa Bi. Du alikuwa mwathirika, Latasha ndiye mhalifu na angekuwa amesimama mbele yake kwa kumpiga karani wa duka kama hangekufa. Kuuawa kwa Latasha Harlins ni moja ya sababu kuu za kuanzishwa kwa Machafuko ya LA.

Tunasikia tu kuhusu Rodney King lakini yeye ndiye #SayHerName asili. Tupac aliumizwa sana na hiki kifo cha Latasha na ametaja jina lake katika nyimbo kadhaa na pia aliweka wakfu wimbo wa "Keep Ya Head Up" kwa Latasha. Kwa hivyo tunasema Latasha Harlins, huko uliko tambua kuwa dunia inakukumbuka, na leo, kuna mtu ameisikia hadithi yako ❤️

1652273360029.png
 
And a little girl named CorinLittle something for my godson Elijah

Some say the blacker the berry, the sweeter the juice
I say the darker the flesh then the deeper the roots
I give a holla to my sisters on welfare
2Pac cares if don't nobody else care
And I know they like to beat you down a lot
When you come around the block, brothers clown a lot
But please don't cry, dry your eyes, never let up
Forgive, but don't forget, girl, keep your head up

And when he tells you you ain't nothing, don't believe him
And if he can't learn to love you, you should leave him

'Cause, sister, you don't need him
And I ain't trying to gas ya up, I just call 'em how I see 'em
You know what makes me unhappy? When brothers make babies and leave a young mother to be a pappy
images (5).jpeg
 
Tupac alikuwa genius
Imagine mashairi yake na alikuwa hana hata miaka 27
"The good die young " huwa inanitoa chozi kila ninampomzika hommie!
 
And a little girl named CorinLittle something for my godson Elijah

Some say the blacker the berry, the sweeter the juice
I say the darker the flesh then the deeper the roots
I give a holla to my sisters on welfare
2Pac cares if don't nobody else care
And I know they like to beat you down a lot
When you come around the block, brothers clown a lot
But please don't cry, dry your eyes, never let up
Forgive, but don't forget, girl, keep your head up

And when he tells you you ain't nothing, don't believe him
And if he can't learn to love you, you should leave him

'Cause, sister, you don't need him
And I ain't trying to gas ya up, I just call 'em how I see 'em
You know what makes me unhappy? When brothers make babies and leave a young mother to be a pappy
View attachment 2220556
Heb fanya kutupia ka ngoma tufikirie mbali ,huenda nikachukua mstari mmoja niwashauri uwekwe kwenye nyimbo yetu ya Tanzania inayoboreshwa
 
And a little girl named CorinLittle something for my godson Elijah

Some say the blacker the berry, the sweeter the juice
I say the darker the flesh then the deeper the roots
I give a holla to my sisters on welfare
2Pac cares if don't nobody else care
And I know they like to beat you down a lot
When you come around the block, brothers clown a lot
But please don't cry, dry your eyes, never let up
Forgive, but don't forget, girl, keep your head up

And when he tells you you ain't nothing, don't believe him
And if he can't learn to love you, you should leave him

'Cause, sister, you don't need him
And I ain't trying to gas ya up, I just call 'em how I see 'em
You know what makes me unhappy? When brothers make babies and leave a young mother to be a pappy
View attachment 2220556
Rap artist wa zamani kama Tupac,BIG , Nas na hata Braza Jigga walikuwa wanatoa NONDO za kuacha legacy na nyimbo za kuishi kwa muda mrefu lakini hawa mashoga waliovamia industry ya hip-hop kama kina lil Nas X , lil pump, tekashi ni wamefanya tukaendelea kurudia mangoma ya 1990s ambapo hip-hop ilikuwa real sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom