Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Inawezekana huyo uliyemtaja aliwahi kuishi Arusha, sina uhakika. Ambacho nina uhakika nacho ni kwamba hakuna member wa The Outlawz aliyewahi kutoroka na kuja kuishi Tanzania.

Ni kweli Pac alikuwa ana-hang na some street dudes kama Haitian Jack, lakini Pac kama yeye hakuwa na tabia za streets na kama ulivyosema baadaye aliamua kuachana nao watu. In fact Haitian Jack ni mmoja wa watu waliosababisha Pac ashtakiwe na hatimaye kufungwa kwa kesi ya kubaka.
 
Unamjua king Tut
 
Mi najua alikuwa Pharao wa Misri.
King tut alikua black mafia....si black mafia family...
Ila mtafute na jimmy henchman
Umtafute na keneth griff...huyu griff ndio alituma watu wampige fifty risasi ila pia aliwahi kuwa na beef na 2pac
Pia msome strech sio treach wa naughty by nature...
Haitian jack najua unamjua...

Ukiwasoma hao kuna kitu utakijua...
 
Nimefuatilia. Walter "King Tut" Johnson alikuwa drug dealer (sio drug lord). Inasemekana ni mmoja kati ya shooters waliotumwa na Jimmy "Henchmen" Rosemond kumvamia Pac na kumpiga risasi 5 kwenye lift Quad Studios.

Randy "Stretch" Walker alikuwa rapper na pia low level drug dealer. Alikuwa mshikaji wake Pac na hata siku ya mkasa wa Quad studios walikuwa wote. Baada ya Pac kushambuliwa Quad Stdios akawa anamhisi Stretch kwamba alikuwemo kwenye huo mchongo kwa kuwa wavamizi hawakumgusa pamoja na kwamba alikuwa na mwili "jumba". Baada ya hapo wakakorofishana na kila mmoja akashika njia yake.

King Tut na Strech walikuwa level za chini kwenye street game, huwezi kuwafananisha na watu kama Henchmen au Kenneth "Supreme" Mcgriff.
 
Jamaa walikuwa na vipaji vizuri sana, ila ndio hivyo shetani aliwateka, kuwatumia na kuwaua mapema mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…