Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Hao uliowataja sasa ukimuondoa card b..ndio wako overrated. .Majina makubwa lakini uwezo 0
Umeongea kinyume mzee cardi B ndio yupo overrated lakini hao wengine ni moto wa kuotea mbali kwenge game la hiphop ya sasa..Migos wana influence kubwa sana kwenye Trap(The new subgenre of hiphop) hata hao wengine kina Travis scott wanajua aisee..anyway bado nafatilia mjadala nilitaka nichangie kuhusu hii tu
 
Hahaha Naipenda pia cause ina message kali. .Pia ile beat iliyo tumika ni beat ya laye mj msanii ambaye na muelewa kuliko wasanii wote duniani
sikiliza na keep on keeping on ya mc lyte,biti ni hyohyo ila imepelekwa slow...'beat all my drums if you feel the need to'...lyte anatukana sana humo ndani...halafu leo uje unisikilizishe nyege nyegezi..swezi elewa
 
Kwangu mimi naona tofauti kabisa. .utanisamehe. .hao migos hamna kitu kabisa '- Ila wana promo kubwa tu. . Hata ukiingia mtaani then ukafanya utafiti wa kuwauliza vijana kama wa nazijua nyimbo zao sidhani kama watakuwa wanawajua
Umeongea kinyume mzee cardi B ndio yupo overrated lakini hao wengine ni moto wa kuotea mbali kwenge game la hiphop ya sasa..Migos wana influence kubwa sana kwenye Trap(The new subgenre of hiphop) hata hao wengine kina Travis scott wanajua aisee..anyway bado nafatilia mjadala nilitaka nichangie kuhusu hii tu
 
hivi umefuatilia mziki wa hao jamaa au unasema tu?,embu angalia vizuri record za tupac zillivyokuwa zina hit kwenye billboards kila mmoja alikuwa vizuri kwenye coast anayoiwakilisha tupac akiwakilisha east coast na big west coast.Kuhusu Swali lako iwapo wangekuwa hai wangekuwepo kwenye ushindani?,kujibu swali hili watazame Dr dre,snoop,ice cube utapata majibu
 
Walikuwa Violent sana hasa Tupac na Suge Knight na waligawa jamii ya waafrika nchini Marekani....hasa makundi kama Blood and Clip vijana wakawa wanauana sana......nadhani hata vifo vyao kuna mkono wa Serikali ya Marekani
Give us Tupac back take that nigga suge/

Let the legend resurrect, he gonna live for good/

I'be screaming thug life, in every different hood/

And If you only could bring back, Lord I wish you would/

Give us biggie, give us pun, give us triple X

Take that nigga Trump with you that's big threat/

There's too much powerful for a coward with no intellect/
 
Hahaha. . Kwa kweli hauwezi kuelewa
sikiliza na keep on keeping on ya mc lyte,biti ni hyohyo ila imepelekwa slow...'beat all my drums if you feel the need to'...lyte anatukana sana humo ndani...halafu leo uje unisikilizishe nyege nyegezi..swezi elewa
 
Kwangu mimi naona tofauti kabisa. .utanisamehe. .hao migos hamna kitu kabisa '- Ila wana promo kubwa tu. . Hata ukiingia mtaani then ukafanya utafiti wa kuwauliza vijana kama wa nazijua nyimbo zao sidhani kama watakuwa wanawajua
Hahaha hebu fanya huo utafiti mkuu Migos kitaa wapo popular si mchezo sidhan kama kuna mtu hawajui kwa sasa
 
Hao wote 'ni wafuasi wa pac na big. .Eminem Mara kibao amesha wahi kusema kuwa pac ndiye aliye kuwa ana mu inspire mpaka leo amekuwa vile alivyo. .. jayz Alikuwa ni cha wa wa big pia. .... Halafu evidence ni nyimbo za pac ..Hivi ngoma kama do for love ni ya miaka 90...Lakini hebu wewe jaribu kuwa mkweli ''unaifananisha na ngoma ya msanii gani mkuu ---

Jigga hata Kanye huwa anamtoa kamasi. .ndio umfananishe na pac like seriously?
Kumbe point yangu unaielewa, Kwa hio unavyodhani shakur na biggie wangekuwepo hadi leo wamgekua wakali kama jigga na Eminem.
 
Hahaha hebu fanya huo utafiti mkuu Migos kitaa wapo popular si mchezo sidhan kama kuna mtu hawajui kwa sasa
Tunao Wajua migos. .ni sisi ambao hatukauki mitandaoni na ambao tu nafuatilia media mbali mbali za burudani kutoka Majuu ...Lakini mitaani migos hakuna anaye Wajua mkuu ....

Ndio maana hauwezi kukuta dala dala .Au t-shirt zenye sura zao zikiwa zimevaliwa na watu ..Pia hauwezi kukuta wakiwa wame chorwa kwenye mabanda ya wasanii au picha zao kuwa printing kwenye barbershop -- wakati hayo yalikuwa yanafanyika sana kwa watu walio itendea haki game kuanzia pac.big .Eminem. Jigga. Lil tunch. 50 cent .drake. Kanye. Etc

Yaani itoshe tu kusema kuwa migos wana pewa chance ya kuhit kwa sababu muziki wa sasa una uhaba wa kuwa na wasanii wa kali. ..
 
Media ndo inawakuza sana hao Migos
 
Back
Top Bottom