Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa.
Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu.
Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja.
Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa.
Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo kama hili linaloangalia raia wanauliwa na ardhi yao inaporwa.