Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ni jambo la wakati tuKuna watu wanasema ccm itatawala milele na milele kwa kuwa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuwatoa madarakani.. wapo sahihi . Lakini pia wasisahau tawala kama za rumi ,ashuru uajemi zilianguka na watawala wake wenye nguvu kina farao, alexander mkuu, dario na wengine wengi waliamini watatawala milele na wananchi walikuwa wanaamini hivyo kwamba hazitakuja kuanguka maana zimekaa katika madaraka for a couple of hundreds of years na zika fall.. sembuse ccm yenye. Miaka 60 sijui 50 ...hata kama watu hawatauondoa utawala wa ccm madarakan .kuna nature nayo ita take place.
MÊmENtO HoMO
Hata dikteta aliamini atatawala milele lakini kaishia miaka 5 na miezi 5Kuna watu wanasema ccm itatawala milele na milele kwa kuwa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuwatoa madarakani.. wapo sahihi . Lakini pia wasisahau tawala kama za rumi ,ashuru uajemi zilianguka na watawala wake wenye nguvu kina farao, alexander mkuu, dario na wengine wengi waliamini watatawala milele na wananchi walikuwa wanaamini hivyo kwamba hazitakuja kuanguka maana zimekaa katika madaraka for a couple of hundreds of years na zika fall.. sembuse ccm yenye. Miaka 60 sijui 50 ...hata kama watu hawatauondoa utawala wa ccm madarakan .kuna nature nayo ita take place.
MÊmENtO HoMO
Utaipata katiba mpya kwa kuwa keyboard warrior?Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa.
Hata stah huna kwa kiongozi wa nchi yako. Nyie ndiyo style ya watu kama JiweMama yako anamwga sana maji akitekenywa simi. Wewe vipi?
Acha kudandia yasiyokuhusuHata stah huna kwa kiongozi wa nchi yako. Nyie ndiyo style ya watu kama Jiwe
Nakubaliana na wewe kabisaKatiba mpya sawa japo Mama Samia bado anafaa sana kuwa rais wetu shida ni hiyo CCM ..
Watatoka tu ipo sikuUtaipata katiba mpya kwa kuwa keyboard warrior?
Katiba mpya tena yenye uwezo wa kuiondoa ccm na watu wake madarakani itapatikana tukichapana vinginevyo sahau.
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Huyu mama hafai hata kidogo.Nakubaliana na wewe kabisa
Shida ipo kwenye mfumo mkuu hata uteuliwe wewe mwenyewe au Obama hakuna kitu maana tatizo linaanza na mfumo mbovu haswa katibaWewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Huyu mama hafai hata kidogo.
Sawa, mimi nilikuwa nakuambia ukweliAcha kudandia yasiyokuhusu