Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.