Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ujifunze kubalance kutokujua.Ujifunze kubalance ujuaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujifunze kubalance kutokujua.Ujifunze kubalance ujuaji.
Umeme mdogo kumbe.Ujifunze kubalance kutokujua.
Umeme mdogo kumbe.Umeme mdogo kumbe.
Poa nimekusoma.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣KISA CHA PILI
Baada ya Isha kuwekwa relini kiberenge kimkanyage akatokea msamalia mwema akamuokoa..!!
Isha akarudi nyumbani kwao, alivyofika hakumkuta mama yake, akamkuta mama mwingine ambaye ni bi mdogo akimtazama wako same age.!! (Likawa tatizo jipya)
Wakaanza kila mara wanagombana, Yule bi mdogo anamtukana Isha ndoa imemshinda kaja kuvunja na ndoa ya baba yake..!!
Baba yake akipelekewa mashtaka anatukana na kusema kama wanashindwa kupatana basi atawakaza wote 😹(Isha alisema baba yake ni wale wababa wanaolima bhang hivyo yupo km chizi fresh) Kuna kipindi polisi walivamia shamba lake wakamwambia, “Kwanini unalima madawa ya kulevya?” Aliwajibu yeye anatumia km mboga..!! Wakamwambia km ni mboga basi ipike ule, kweli bhana yule baba yake Isha akapika bhangi km inavyopikwa mchicha akala na ugali. 😹
Sasa kuna siku mama yake mdogo akapotelewa na chachandu zake, mtu wa kwanza kumtuhumu ni Isha coz adui yake mkubwa..! Baba yake alivyosikia bila ustaarabu akavamia chumba cha Isha akaanza kupekua huku anafoka anataka chachandu za mkewe zirudishwe chap, hizo ndo zinafanya yeye aone dunia tamu..!!
Isha anasema alilia sana ile siku baba yake anamdhalilisha, baba yake bila aibu akamvua shanga Isha akampa mkewe na akamfukuza Isha nyumbani na kipigo juu.!!
HahahahNimemaliza zangu form 4 nikawa nipo tu home napiga vyuma nikatanuka bonge la kono,mwaka ujao nikaenda kusoma makongo one day navuka zangu Road naona wachumba wa makongo wale wa A Level wananikata jicho mtoto mmoja mkali akaniambia kwa sauti ya juu I like your body du! Mpaka leo hiyo sauti haitoki kichwani mwangu
Stori za Vijiwe vya kahawa hizi pale KariakooMiaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔 AiseeeNakumbuka tupo form six mbeya,Kuna rafiki yangu aliniomba nimsindikize sehemu mitaa ya nonde, kumbe ni kwa mganga wa kuonesha kwenye "Tv", sasa jamaa akanyweshwa dawa akaambiwa akae saa nzima itakuwa imekua active tayari kwa kuangalia jambo lake kwenye hio"Tv", inakua sio Screen,ni kitambaa tu . Sasa jamaa alikua ni mnywaji wa pombe kali ile dawa ikawa inachelewa kuwa activated.
Mganga akamwambia kama rafiki yako atumii pombe, anywe hii dawa wewe utakuwa unamwelekeza tu unataka uone nini awe anauliza,nikanywa,haikupita nusu saa nikawa tayari tukaingia kale kachumba kana giza,ila nikawa naona vzr kwenye kile kitambaa matukio na alioitaji jamaa kuona na nakumbuka wale wachawi kwenye kile kioo walikua wanakuja wamegeuzia kisogo hawataki kuonekana,ila unawafosi...kuna mmoja mpaka alikuja palepale tulipo kupambana.
Ile kuondoka ile dawa ilikua haijaisha vzr kichwani, njiani nilikua naona mambo ya hatari sana, viumbe wa ajabu,watu wapo uchi ,mavichuguu makubwa,aisee ile siku .
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 Hongera sanaaaaaa pia hongera zaidi kuwa kutokuwa kijana wa ovyo kumtafuna mama wa watu 😂😂🥳Kuna mtoto wa jirani yetu kama form 3 hivi(me), aligombana na mama yake, akaenda kujinyonga , mama yake kwa hofu na kilio akaja speed kuniita, njoo nisaidien mwanangu anakufa, ile kukimbilia nakuta chalii linaning'inia, nikadaka ile miguu kama kumnyanyua hivi ili kamba isiendelee kumuumiza, alafu tukaita watu wakaja na ngazi wakakata ile kamba, ndo ikawa ameokolewa,,, alizimia kama 45mins ndo akazinduka hajitambui na wenge kama lote,,,alikuwa keshakojoa, nadhan alikuwa ameshamuona Israle mtoa roho live ,,, ! Yule chali nimempita kama 8yrs, since then mpk Leo yule dogo kama ananiogopa ama kunionea aibu, hAyupo huru akiniona, ananiamkia anapita hivi,,,
Yule ni first born, mama yake ni teacher, mjane,,after lile tukio mama yake alileta mazoea mazoea,,,nadhan alitaka kunipa ahsante lkn sikuipokea,,, ! Tunaheshimiana mpk Leo
Bila shakaHahahah
Sasa hivi ni single maza ana watoto wa 3 😁😁
ChaiMiaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
Story yangu fupi...Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
Mimi uwa nawambia njoo huku pembeni kabla sijakupigia kelele alafu namkagua ,iwe jero ,simu au chochote nikutacho basi ni Mali yangu .