Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Yaaan baada ya kumaliza kidato Cha nne nikafaulu na kujiunga kidato Cha tano advance nilikuwa kawaida mno natamani hata kesho nimalize niondoke nishachoka Ila ndo sikuwa na namna inabidi nivumilie......🤣🤣😁🤣🤣🤣🤣🤣
Nimemaliza naenda JKT julai huko 😂..... Muda sio mrefu nawaza hivi matokeo nisipofaulu itakuaje na home wananiamni sinto waangusha niliwaza sana.....
Jamaangu mmoja tulikuwa naye JKT baada ya matokeo kanifata kaniambia you did the best 👊..... Basi hapo nikasema sasa hapa nshamaliza kazi 😂