Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Njiwa mtu huyo😂😂😂njiwa alitoa nauli lakini?
Hii dunia ina maajabu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njiwa mtu huyo😂😂😂njiwa alitoa nauli lakini?
Hii dunia ina maajabu!!
Mimi uwa nawambia njoo huku pembeni kabla sijakupigia kelele alafu namkagua ,iwe jero ,simu au chochote nikutacho basi ni Mali yangu .Kariakoo juzi Kati jamaa nikiwa nimebeba kibegi mgongoni jamaa akanifuata kwa nyuma akawa anafungua zipu kwakua Mimi ni mafia / ninja / mbabe/ zee korofii/ mtukutu wa nyaigera e.t.c
Nikageuka fasta nikashika mkono ukiwa kwenye begi nikamwambia kwa kumaanisha ntamalizana na wewe hapa hapa chap chap
NTAKUTOBOA MACHO sasaivi na mtu yeyote asijue.
Jamaa likawa linatetemeka na nikaliacha linaondoka kwa fadhaa kubwaa sanaa
Njiwa mtu huyo
Mjini mpaka njiwa wanapanda daladalaAliona hana nauli akasema isiwe shida,nakuwa njiwa for a min
baby mambo?Aliona hana nauli akasema isiwe shida,nakuwa njiwa for a min
😂😂😂Mjini mpaka njiwa wanapanda daladala
Eeeh aaahyaaah 🏃🏻➡️waongo nyie😕😕
Ahahaha majimama jau sana haya mkuuPoor Brain tupatie stori ya jimama lako
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duuuh, aisee nimecheka usiku huu🤣🤣🤣Nilikuwa na jirani yangu kila siku nasikia anapiga miluzi, nikajua ni burudani tu.!!
Na miluzi inazidi sana siku akiwa na demu, mimi tena na umbea wangu nikaanza kufatilia jirani anaimbaga nyimbo gani kupitia miluzi?!!
Maana kuna muda miluzi inachanganya km nyimbo za wakongo… inaanza mdogo mdogo mara mluzi unakolea mpk unatoka nje ya beat..!! Baadae kidogo unakuwa km anasonya fyuuuuu KIMYA.
Hilo suala lilinitatiza sana sipati jibu, muda ukapita nikapata mpangaji wa kike jina lake Isha. Ile nyumba ni ya kwetu nilikuwa naishi na bibi yangu..!!
Mpangaji kachangamka anaongea km kameza kiredio, akaanza kunisimulia matatizo yake na mumewe mpk akakimbia ndoa na kuja kupanga ili kuanza upya maisha yake..!!
KISA CHA KWANZA
Wakati anaolewa na huyo mumewe mwanajeshi, walikuwa kila wakiwa faraghani mume wake akikaribia kufika mshindo analamba middle finger kisha anamchomeka kwenye tupu yake ya nyuma..!!
Mkewe akawa anamshangaa!! Hivi ndio vinini tena?!! Na kwakuwa Isha ni mgeni wa mapenzi akajua ndo mahaba yalivyo..!! Akawa katulia hasemi chochote..!!
Sasa hiyo siku mume wake gari limewaka raha zimemzidia kashainua mashabiki kwa shangwe, Isha akaona ngoja na mimi nijiongeze nimfurahishe zaidi mume..!!
Mwanaume wakati anajipanga afanye jambo lake Isha akamuwahi kalamba middle finger kamchomeka mumewe awweeh 😹😹😹😹
Asikwambie mtu mjeda aliruka akamwambia “Yani nimejipiga bao mwenyewe?” UTANITAMBUA LEOOOO
Alimpiga Isha kisha akampeleka kwenye reli akamfunga ili kiberenge kikipita kimkanyage..!
Nimechoka kutype 🤣
Kupitia Isha ndio nilikuja kujua ilikuwaje mpk akawa anapiga hiyo miluzi..!! 😹😹😹,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duuuh
Huyu mwamba wa miluzi haukuwahi kujua zaidi???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilikuwa na jirani yangu kila siku nasikia anapiga miluzi, nikajua ni burudani tu.!!
Na miluzi inazidi sana siku akiwa na demu, mimi tena na umbea wangu nikaanza kufatilia jirani anaimbaga nyimbo gani kupitia miluzi?!!
Maana kuna muda miluzi inachanganya km nyimbo za wakongo… inaanza mdogo mdogo mara mluzi unakolea mpk unatoka nje ya beat..!! Baadae kidogo unakuwa km anasonya fyuuuuu KIMYA.
Hilo suala lilinitatiza sana sipati jibu, muda ukapita nikapata mpangaji wa kike jina lake Isha. Ile nyumba ni ya kwetu nilikuwa naishi na bibi yangu..!!
Mpangaji kachangamka anaongea km kameza kiredio, akaanza kunisimulia matatizo yake na mumewe mpk akakimbia ndoa na kuja kupanga ili kuanza upya maisha yake..!!
KISA CHA KWANZA
Wakati anaolewa na huyo mumewe mwanajeshi, walikuwa kila wakiwa faraghani mume wake akikaribia kufika mshindo analamba middle finger kisha anamchomeka kwenye tupu yake ya nyuma..!!
Mkewe akawa anamshangaa!! Hivi ndio vinini tena?!! Na kwakuwa Isha ni mgeni wa mapenzi akajua ndo mahaba yalivyo..!! Akawa katulia hasemi chochote..!!
Sasa hiyo siku mume wake gari limewaka raha zimemzidia kashainua mashabiki kwa shangwe, Isha akaona ngoja na mimi nijiongeze nimfurahishe zaidi mume..!!
Mwanaume wakati anajipanga afanye jambo lake Isha akamuwahi kalamba middle finger kamchomeka mumewe awweeh 😹😹😹😹
Asikwambie mtu mjeda aliruka akamwambia “Yani nimejipiga bao mwenyewe?” UTANITAMBUA LEOOOO
Alimpiga Isha kisha akampeleka kwenye reli akamfunga ili kiberenge kikipita kimkanyage..!
Nimechoka kutype 🤣
🤣🤣🤣🤣Ana walakini huyo.Huyo soldier anaejipiga vidole ni hatariii🤣🤣🤢
Soldier hajipigi vidole ila yeye ndo alikuwa anampiga mkewe akifika mshindo..!!Huyo soldier anaejipiga vidole ni hatariii🤣🤣🤢