Duh pole kaka ila hongera snaaKuna mwaka Nilienda kwa wakala kuweka Hela CRDB Sasa yule jamaa akasema Hana Salio la kutosha nikawa napiga nae story mara vuup Kuna limtu lilikuwa linapita barabarani likaona Hela ilivojichora mfukoni likasogea mpaka pale nilipokuwa likawa linajifanya kama ni limteja nalo
Mara paap likaanza kupapasa kwenye mfuko wangu wakati ambao Mimi naongea na yule wakala nikahisi kama naguswa mfukoni niliondoka bila kuaga yaani nilichukuw vitu vyangu na kusepa kama nakimbizwa bahati nzurii kwenda kuangalia nakuta Hela yote ipo nilishukuru mungu maana ningeibiwa KIZEMBE siku ile
Sema uliondoka kinyongeKuna mwaka Nilienda kwa wakala kuweka Hela CRDB Sasa yule jamaa akasema Hana Salio la kutosha nikawa napiga nae story mara vuup Kuna limtu lilikuwa linapita barabarani likaona Hela ilivojichora mfukoni likasogea mpaka pale nilipokuwa likawa linajifanya kama ni limteja nalo
Mara paap likaanza kupapasa kwenye mfuko wangu wakati ambao Mimi naongea na yule wakala nikahisi kama naguswa mfukoni niliondoka bila kuaga yaani nilichukuw vitu vyangu na kusepa kama nakimbizwa bahati nzurii kwenda kuangalia nakuta Hela yote ipo nilishukuru mungu maana ningeibiwa KIZEMBE siku ile
Ki shule shule! Tumetoka class tunawahi kuoga then turudi kula chakula uck.
Sasa kulikuwa na vyoo vya juu ya ghorofa na vingine vipi chini! Ridochi hiyo Eckenforde
Mimi nikawahi choo kimoja ila Nikakuta kimefungwa afu kama Kuna mtu ndani maana nilikuwa naskia maji yamefunguliwa kwenye ndoo!
Nikamwambia yule wa ndani! Oya Chap chap utoke niingie! Nikaa nje namsubiria atoke! Tena nilikuwa na jamaa angu hapo nje.
Gafla maji yakafungwa! Nikajua mtu yule kamaliza ili atoke! Malango ukafunguka na hakuna mtu ndani!
Weee! Tulitoka ndukiiii! Mambo ya Tanga hayo
Alikuwa mkwepa tozo/nauli ya daladala huyo njiwa.Mngemkamata afunguliwe kesi ya uzembe na upaaji hovyo/uzurulaji.Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
Nilisepa chapu haraka sanaSema uliondoka kinyonge
Ilitakiwa umpe onyo kwa vitendo mkuu π π πNilisepa chapu haraka sana
Hahaha aiseeAlikuwa mkwepa tozo/nauli ya daladala huyo njiwa.Mngemkamata afunguliwe kesi ya uzembe na upaaji hovyo/uzurulaji.
Anyway,umenikumbusha mwaka 1987-90 hivi.Makondakta wa daladala za njia hiyo walikuwa wanasimama na marungu(clubs) makubwa kwa ajili ya kupigapiga mlangoni wakati wa kuondoka au kusimama.
Ndo hapooo Sasa nilipofeli me nilijali usalama wa fedha kwanzaIlitakiwa umpe onyo kwa vitendo mkuu π π π
Acha Mzee zipo nyingi sanaHahahahah
Alafu eckenforde huwa kuna mastori mengi sana
Weka hapa tunakisubiriNami nitaleta kisa changu