mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Mfumo wa Effiling kwa sasa ndio unatumika kwa ajili ya walipa kodi kujaza na kutuma Return zao kwa kipindi cha tangu March mwaka huu mfumo huu umekuwa na shida kubwa, Ukiingia kwenye mfumo unakuwa loged out, kuna return unatuma zinakuwa rejected, unatuma return mara kibao ndio zikubali, mtandao hauko stable sio siku za kawaida wala siku za deadline sio asubuhi sio usiku.
Tupaze sauti zetu TRA na Nchi isikie, Waziri Mwigulu achana na mambo ya kuwa agent wa kwenye mpira , shughulikia effiling
Alphayo Kidata shughulikia Efiling iwe stable MAMA SAMIA wabane watendaji wako Efiling iwe stable.
wadau na watumiaji wanateseka sana