SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Samboko huyo inatakiwa umuoe. Au ni story tu kama za Mikitomikito?Kuna malaya mmoja pale ambiance nilikua mteja wake adi akawa kama demu wangu kabisa, akija kazini akiona hakueleweki anakuja gheto kulala maana sikua naishi mbali sana na pale, tulijikuta tunapendana mno adi akaanza kua na wivu na mimi, akabeba mimba na kuzaa,
Akawa anasema natamani niolewe na wewe lakini najijua mimi sifai kua mke, nikimuuliza kwanini anadai anajijua tu, ila wee nakufanya kama mme wangu japo sitakuja kuishi na wewe.
Umalaya kaacha mwaka 2016 sa hivi ni mfanyabiashara mzuri baada ya kupata danga la maana hakua mtz alikuja kikzai ila alizunguka nae nchini mikoani miaka 2 ndio akapata mtaji,
Sasa hivi ana mimba yangu nyingine. Wa kwanza ana miaka 10.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app