Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Samboko huyo inatakiwa umuoe. Au ni story tu kama za Mikitomikito?

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Wabaya? Heri yako wewe mzuri. Ila kumbuka aliyekuumba wewe ndiye aliyewaumba wao.

Nyie wazungu wakiwaita manyani huwa mnapaniki sana ila waafrika kwa waafrika mnaitana wabaya.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe sura yangu mbovu ka ngiri au kiboko hata sio nzuri ulishawahi ona sura hyo?
Mimi mtu aniete vyovyote I don't care najiamini nilivo, Ila binadamu hutofautiana Kuna watu wazuri wa sura, umbo na kila kitu, pia Kuna watu sura zao sio nzuri Ni personal that's bitter truth
 
Samboko huyo inatakiwa umuoe. Au ni story tu kama za Mikitomikito?

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu, sikufikiria kumuoa japo tulipendana sana lkn yeye ndio alikataa na kuniambia wala usiweke hilo akilini mwako,
Na hayo aliniambia baada ya kupata mimba aliacha kwenda kujiuza akaniomba nimsapoti adi mtoto akifika mwaka atalea mwenyewe maana hakua na akiba kubwa japo ktk uchunguzi nkajua ana m4 bank nkapotezea,
Yaani akiwa na mimba tuliishi km tumeoana anaeza lala home hata mwezi ndio anarudi kwao, alikua akinipikia, kufua na mengineyo adi kajifungua.

Ni mwanamke mzuri mwenye hashima sana pamoja na kujiuza hana zile tabia mbovu kama wengi wao walivyo.
 

Wewe acha kupiga ramli!
imani za zama za mawe hizo!!!
We mshamba wa wapi? Bukene?
 
Tatizo liko kwenye namna jamaa anavyohadithia matatizo ya huyo dada Nesi bila hata chembe ya huruma, yaani as if kafurahi!

Ulitaka ahadithie huku Amalia!
We mshamba wa wapi aisee??
 
Mkuu muweke tu ndani utulie nae

Maisha yenyewe yako wapi haya na ushamzalisha mtoto 1 mwingine anakuja tena
 
Naona wadada wanavyokuwa makini kujua waliopo single na waliooa kupitia huu uzi.
Msiseme sikuwashtua mapema ohoo [emoji2211][emoji124]
Hii kitu haina formula, inatokea tu mkuu
 
NIlijikuta nimemuonea huruma tu kutokana na mazingira aliyokuwa anaishi nikaamua nijisogezee tu. Ninachoshukuru kapewa kisichoonekana kwa macho na kinachoonekana kwa macho pia kapewa.
Hongera sana mkuu
 
We jamaa umenichekesha sana, hivi huyo jamaa yako amewahi kusikia unamuita mke wake guluguja au ni kiwakilishi tu umekitumia hapa [emoji3][emoji23]

(Najaribu kumuumbia picha huyu guluguja lakini nashindwa, naishia kucheka tu)
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…