Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Wakuu,
Wadau na wapenzi wa games njoeni tupeane maujanja ya kucheza Dream league game online,offline na local multiplayer.
Natumia kikosi cha Liverpool hiki hapa
Sifa ya wachezaji wangu wote wana urefu wa 204CM inaniwezesha kucheza kwa kujiamini wana kasi,mipira ya juu naichukua vizuri.
Pia wachezaji wote wanapiga miguu yote kulia na kushoto kwaiyo hainipishida shida kupanga kikosi kila mfumo ninaotaka.
Sijawai kuvuka division 5 naishia hapo nikiwa na stress nacheza sana nafungwa sana nashuka mpaka tier 10 naanza upya kupandisha division 😂
Karibuni wajuzi wa ku-Hack nakadhalika,tunasubili toleo jipya 2020/2021.