Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Mkuu unaongezea ujuzi au unauliza maana kama nimepitwa!
Wakati naanza kucheza niligundua ukishalifungua game kwa data unazima data unacheza then match ikiisha kama matokeo umeridhika nayo unawasha data then unaruhusu ikusanye matokeo uendelee na match nyingine
So kama umefungwa usiruhusu mpira uishe,quit match ucheze offline itaanza upya then ukishinda washa data sasa

Hapa naongelea dls 2020 Og
 
Kwa unavyoona hii dls 19 na dls20 ipi ipo vizuri?
tofauti kiuchezaji upo dls 2020 la playstore ni zito linamapungufu mengi graphics zake sio mzuri,Substution unapangiwa yani ovyo kwakuwa sija download kupitia playstore kwangu naona ni bora napata graphics Hd Mchezaji namuona kama Tv vile,
lile la playstore 2020 ni takaka si la kuangaika nalo.
 
Dls 19 lina mazuri yake hasa upigaji wa faul na mashuti sema ni jepesi kushinda match labda online
Na ukitaka kufaidi game online zile ni mechi ngumu man to man.
Offline katuni zile hazikabi unazipiga goli 20 mi naita ni mechi "tutorial" anacheza beginner
 
tofauti kiuchezaji upo dls 2020 la playstore ni zito linamapungufu mengi graphics zake sio mzuri,Substution unapangiwa yani ovyo kwakuwa sija download kupitia playstore kwangu naona ni bora napata graphics Hd Mchezaji namuona kama Tv vile,
lile la playstore 2020 ni takaka si la kuangaika nalo.
Mkuu, mbona unaleta uhondo nusunusu,tupe uelekeo tulishushe hilo la 20 ambalo si la playstore...

Alafu lina online na local?
 
Mimi nahangaika nalo ntaleta mrejesho nimegugo tu
Linki hii maweka mara ya pili
DLS 19 v6.13 Mod All Player 204cm ViP » Sakib.Pro
Kisha click kwenye alama nyekundu sehemu moja wapo patakapo kubali
IMG_20200709_074300_962.jpg
 
Katika game jamaa walitoa kali na lenye challenge kubwa basi ni lile la 16 lilikuwa konk, nilmelichezea sana kamali nikiwa chuo,
 
Back
Top Bottom