Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Mkuu nilivyoona unachelewa nikachukua lile la 21 sijui wewe uliwahi kulijaribu?
Mambo mengi mtaani mpaka nimechelewa,dream league soccer 2021 limetolewa lini? Si wanalitoa mwisho wa mwaka?
 
Mambo mengi mtaani mpaka nimechelewa,dream league soccer 2021 limetolewa lini? Si wanalitoa mwisho wa mwaka?
.mi nimekuta hilo nikalidownload, sasa sijui hilo lako na hili lipi bora
Screenshot_20200709-101503.jpg
 
Wazee mbona mnanichanganya napataje DLS 20 offline. Mi nilivyoona ni online sikupoteza muda. Wacha nisome comments zote nielewe. Wenye link basi ya kupata hii game offline mode afanye mambo.
 
Wazee mbona mnanichanganya napataje DLS 20 offline. Mi nilivyoona ni online sikupoteza muda. Wacha nisome comments zote nielewe. Wenye link basi ya kupata hii game offline mode afanye mambo.
Link ipo juu hapo, soma comment zilizopita
 
Ni lisaa sasa nahangaika na hii link kila nikipakua lina inapakua kwa speed ikifika 50mb inaanza kwenda polepole kisha nakata naanza upya. Napoteza mda na mb
Hili inabidi upakue apk,data na obb kisha utumie zachiver kuexctract hayo mafile kisha uinstall app
 
Ni lisaa sasa nahangaika na hii link kila nikipakua lina inapakua kwa speed ikifika 50mb inaanza kwenda polepole kisha nakata naanza upya. Napoteza mda na mb
Hii link ipo sehemu mbili ya kudownload jalibu sehemu ya pili alafu nipe mrejesho angalia picha niliyotuma izo sehemu
 
Mkuu hujanijibu bado ni wapi kuna uhondo kati ya hili la 21 au hilo lako hapo
21 ni fake ni graphics tu izo watu wameandika namba 21 na nalotumia mimi naliona lina uhondo sana
Hd view, both player 204CM,all player unlocked,all player VIP, all player both footed and unlimited coin
 
Hahaaaa hilo lako umelitoa wapi?
Nimeligugo tu mkuu ila lipo fresh na ni easy kuliinstall,
Nilichopendea ni uhalisia wa wachezaji kila mchezaji ana umbo lake la asili tatizo labda graphics quality inaonekana hilo la mdau hapo lina graphics kali zaidi, kiufupi mimi napenda sana uhalisia ila kwakuwa huko online unakutana na majini basi lazma ubadilike kidogo la sivyo utakuwa mtu wa kuchezea vipondo mwanzo mwisho,
Ndio maana mm ni mdau sana wa FTS tatizo lake ni ubovu wake wa picha watu wake hawana uhalisia kabisa
 
Back
Top Bottom