Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Radha yake ni hizo coin tu una sajili mchezaji yeyote unae mtaka. Ila kuna mapungufu kama mda hapo mwanzo alisema unakuta mchezaji ana 100 lakini hakimbii kabisa
Dreamleague soccer zote mda upo constant haubadiliki
 
Kabisa kaka heri 2020 lina changamoto
Kwa nyinyi mnaotumia offline unaeza kusema Bor 2020 lakini halina changamoto zaidi graphics mbovu
Ukiwa unacheza online utajua kwanini natumia hilo game.
 
Mkuu Wang Shu hilo game nimelipakua na nimejaribu kulicheza naona hakuna tofauti yoyote na lile la 2019. Maana project ni zile zile utaanzia Academy Division mpaka Division one kisha utaendelea ucheze na mabara hivyo mpaka hatua ya mwisho.

Ila nilicho gundua kwenye hili game ni watu tu wameli hack na kuweka fake graphics lionekane ni la 2020 kumbe ni 2019. Katika option walizo hack ni kama HD view, Both player 204cm, all player unlocked, all player VIP, all player both footed na unlimited coin. Option hizo zilikuwa hazipo kwenye lile la kutengeneza 2019 kwahiyo naweza nikasema DLS la 2020 lililo sahihi ni lile linalopatikana playstore. Maana niliwahi kulipakua kule playstore kilicho ni shinda ni kucheza ukiwa online.
Sio lazima ucheze data zikiwa on mkuu
Washa data ili ufungulie game then kabla ya kuanza kucheza weka data off cheza then game ikiisha kama umeridhika na matokeo washa data ulogin sasa
 
Failed to open nn tatizo?
kwanza icho kitu ukikipakua badili jina lisomeke hivi "profile.dat" kisha tumia zarchiver kufungulia na kufuata process za picha elekezi zile kwenye comment ya chini yake
 
Sasa ukizima kisha ukaanza kucheza si litaka yaani lishidwe kuendelea maana game linakutaka data ziwe on
No match unacheza vizuri tu ikiisha ndo itataka uwashe data ikusanye taarifa ndio uendeelee,na hiyo ya kuzima data inasaidia hata ukiwa umefungwa match ikiisha unaiquit
kwa kuwa utakua umezima data itagoma na kukutaka ucheze offline ko match itaanza upya mpaka pale utapoona matokeo yako sawa ndo unawasha data inayakusanya unaendelea
Labda game zile za online ndo data lazima ziwe on
 
Hapana huu ni uongo mpaka basi duh kwenye dream league Soccer hicho kitu hakuna
 
Hapana huu ni uongo mpaka basi duh kwenye dream league Soccer hicho kitu hakuna
Kichwa cha hii thread ni kupeana maujanja
Sasa mimi nawapa maujanja ya dls 20 original mnajifanya nyie mnajua kila kitu

Mfano hii match hapo data nimezima na ntacheza itaisha ila ili matokeo yaingie kwenye system lazima niwashe data labda na kuangalia matangazo

Then nkitaka kucheza match inayofuata naweka data off,Hii mbinu ndo ilinifanya niendelee kucheza hili game hadi leo la sivyo nisingeweza kucheza data zikiwa on hadi haya mashindano ya kawaida
Screenshot_2020-07-10-11-23-48.jpg
 
View attachment 1502663
Em ngoja nijalibu hii mbinu nitakupa mrejesho
 
Em ngoja nijalibu hii mbinu nitakupa mrejesho
Hayo ndo maneno sio kujitia ubishi tu wa kizamani
Nna hakika hii mbinu inawezekana nikawa naijua mwenyewe kati ya watumiaji wote duniani maana hata kwenye magroup huko mitandaoni sijawahi ona mtu yeyote kaigusia
 
😂😂😂😂sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom