Swali la Pili zipo njia nyingi ila tuanze na hii ya VLOOKUPHii part mkuu bado asee nikiandika january hapo mwanzo thn niki drag cell inajirudia january mpka chini hivo inapoteza maana, na hapo kwenye MIN kama umenielewa vizuri mkuu nachoataka ni vipi nitaunda formular ambayo itanifanya niweze kutafuta MIN ambaye kwenye cell isisome ile no min bali usome mwezi ambao receipts zilikuwa min hyo ndo aim yangu mkuu.Naomba msaada wa hizo mambo muheshimiwa
Swali la Pili zipo njia nyingi ila tuanze na hii ya VLOOKUPHii part mkuu bado asee nikiandika january hapo mwanzo thn niki drag cell inajirudia january mpka chini hivo inapoteza maana, na hapo kwenye MIN kama umenielewa vizuri mkuu nachoataka ni vipi nitaunda formular ambayo itanifanya niweze kutafuta MIN ambaye kwenye cell isisome ile no min bali usome mwezi ambao receipts zilikuwa min hyo ndo aim yangu mkuu.Naomba msaada wa hizo mambo muheshimiwa
Inategemea na version unayotumia..
Andika JANUARY then FEBRUARY halafu drag vibox vyote viwili Kwa pamoja
Asante Kwa Swali Lako Zuri.. Nimekuandalia Video fupi.. Nimeiweka Kwenye Group kule hakikisha umeingia... Nimejifunza swali lako lote.. Iangalie na fanya mazoezi na kama utakuwa na swali usisite kurudi hapa kuulizaMsaada wa jinsi ya kugrade matokeo na jinsi ya kuweka nafasi
Safi sana.. Na Karibu Tujifunze pole pole.. Nakuandalia video fupi maana swali lako lina vitu vingi kidogoMkuu Mimi mgeni kidogo kwenye matumizi ya excel lakini naamini hapa ntapata majibu ninataka tumia excel kwa ajili ya stock nifanyaje lengo langu nataka nikishaweka bidhaa zangu nikiuza niwenajaza imepe majibu automatic stock zilizobaki
Jambo zuri ustahili pongezi, hongera sana kwa kuweka maarifa hapaTIP OF THE DAY :
Tumia Google Sheet Kwenye simu yako sio lazima. Uwe na Computer
Ingia play store andika Google Sheets halafu pakua..
Anza kufuatilia vitu vidogo vidogo wadau wanavyouliza hapa hata kama ukiwa safarini au kijiweni unapiga story..
Waswahili wanasema haba na haba hujaza kibaba...
Ukisha ipakue Kuna templates ambazo zimeshatengenezwa unaweza ukacheza nazo kupata maujuzi pia..
Kuna ya Calendar, Attendance Kwa walimu na hata Financial Statements Kwa wahasibu
Nitazielezea huko mbeleni
Enjoy!
Ntashukuru boss mana Mimi ninachokifanya hata mwenyewe hakini vutii in mpangilio mbovu ambao unanipa shida Mimi mwenyeweSafi sana.. Na Karibu Tujifunze pole pole.. Nakuandalia video fupi maana swali lako lina vitu vingi kidogo
Mkuu nina wazo..tutengeneza group la whatsapp kwa walio tayari I think tungeeleweshana kiurahisi zaidi kwa picha na hata videos. Maana Excell janga Sana kwa wengi. AsanteNakubaliana na wewe mkuu...
Chief Ethos unagonga mule mule, they say knowledge is power... Mkuu upo vyema sana, ila ningeomba kama utaweza kujitahidi uweke na images kwenye maelezo kama za awali utakuwa umenoga sana....maana maelezo peke yake inasumbua kupata maanaMwenye swali lolote kuhusu VLOOKUP anakaribishwa kabla sijaizungmzia HLOOKUP hapo kesho
Sawa mkuu nitajitahidi kufanya hivo...Chief Ethos unagonga mule mule, they say knowledge is power... Mkuu upo vyema sana, ila ningeomba kama utaweza kujitahidi uweke na images kwenye maelezo kama za awali utakuwa umenoga sana....maana maelezo peke yake inasumbua kupata maana
Natanguliza shukrani
Onyesha umahiri wako hapa kwanza...Njoo upate kujua maujanja ya advance use of excel, jinsi ya kumanage data in excel, jinsi ya kutumia function mbali mbali, working with "filter" and "sort " in data analysis nichek kwa # hii nikupe maujanja 0762243055
Tuna Group la telegram link ipo mwanzo wa uzi.. Nadhani tungeanzia hapo.. Nimetumia chanel ya telegram ili kuepusha usumbufu wa chatting na kuweka mtiririko mzuri wa MadaMkuu nina wazo..tutengeneza group la whatsapp kwa walio tayari I think tungeeleweshana kiurahisi zaidi kwa picha na hata videos. Maana Excell janga Sana kwa wengi. Asante
Tuna Group la telegram link ipo mwanzo wa uzi.. Nadhani tungeanzia hapo.. Nimetumia chanel ya telegram ili kuepusha usumbufu wa chatting na kuweka mtiririko mzuri wa Mada
Mkuu bado sijapata ufumbuzi mkuuKaribu mkuu... Kama utakuwa na swali weka hapa nitalijibu mimi au wadau wengine