Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Hii part mkuu bado asee nikiandika january hapo mwanzo thn niki drag cell inajirudia january mpka chini hivo inapoteza maana, na hapo kwenye MIN kama umenielewa vizuri mkuu nachoataka ni vipi nitaunda formular ambayo itanifanya niweze kutafuta MIN ambaye kwenye cell isisome ile no min bali usome mwezi ambao receipts zilikuwa min hyo ndo aim yangu mkuu.Naomba msaada wa hizo mambo muheshimiwa
Swali la Pili zipo njia nyingi ila tuanze na hii ya VLOOKUP
 
Inategemea na version unayotumia..

Andika JANUARY then FEBRUARY halafu drag vibox vyote viwili Kwa pamoja

Inakuja hivi mkuu inajirudia jan feb natumia version ya 2013 hii kwenye tab app ya officesuite pro
Screenshot_2016-11-23-09-19-58.png
 
Mkuu Mimi mgeni kidogo kwenye matumizi ya excel lakini naamini hapa ntapata majibu ninataka tumia excel kwa ajili ya stock nifanyaje lengo langu nataka nikishaweka bidhaa zangu nikiuza niwenajaza imepe majibu automatic stock zilizobaki
 
Nataka iwe na column zifuatazo column ya opening balance added stock, issued stock na closing balance na hili nataka liwe linafanyika kila siku
 
Msaada wa jinsi ya kugrade matokeo na jinsi ya kuweka nafasi
Asante Kwa Swali Lako Zuri.. Nimekuandalia Video fupi.. Nimeiweka Kwenye Group kule hakikisha umeingia... Nimejifunza swali lako lote.. Iangalie na fanya mazoezi na kama utakuwa na swali usisite kurudi hapa kuuliza
 
Mkuu Mimi mgeni kidogo kwenye matumizi ya excel lakini naamini hapa ntapata majibu ninataka tumia excel kwa ajili ya stock nifanyaje lengo langu nataka nikishaweka bidhaa zangu nikiuza niwenajaza imepe majibu automatic stock zilizobaki
Safi sana.. Na Karibu Tujifunze pole pole.. Nakuandalia video fupi maana swali lako lina vitu vingi kidogo
 
TIP OF THE DAY :

Tumia Google Sheet Kwenye simu yako sio lazima. Uwe na Computer

Ingia play store andika Google Sheets halafu pakua..

Anza kufuatilia vitu vidogo vidogo wadau wanavyouliza hapa hata kama ukiwa safarini au kijiweni unapiga story..

Waswahili wanasema haba na haba hujaza kibaba...

Ukisha ipakue Kuna templates ambazo zimeshatengenezwa unaweza ukacheza nazo kupata maujuzi pia..

Kuna ya Calendar, Attendance Kwa walimu na hata Financial Statements Kwa wahasibu

Nitazielezea huko mbeleni

Enjoy!
Jambo zuri ustahili pongezi, hongera sana kwa kuweka maarifa hapa
 
1 Nov received 2000 @ Tzs100
5 Nov received 620 @ Tzs100.50
7 Nov issued 1350
11 Nov received 600 @ Tzs110.50
13 Nov received 400 @ Tzs120.50
17 Nov issued 1250
19 Nov received 1050 @ Tzs110
22 Nov received 640 @Tzs 100.50
23 Nov issued 250

Habari wakuu naomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu nataka niziingize katika excell kwa kutumia FIFO na LIFO wakuu hizo bidhaa naombeni muongozo kwa hilo.Ahsanteh sana
 
Safi sana.. Na Karibu Tujifunze pole pole.. Nakuandalia video fupi maana swali lako lina vitu vingi kidogo
Ntashukuru boss mana Mimi ninachokifanya hata mwenyewe hakini vutii in mpangilio mbovu ambao unanipa shida Mimi mwenyewe
 
Njoo upate kujua maujanja ya advance use of excel, jinsi ya kumanage data in excel, jinsi ya kutumia function mbali mbali, working with "filter" and "sort " in data analysis nichek kwa # hii nikupe maujanja 0762243055
 
Mwenye swali lolote kuhusu VLOOKUP anakaribishwa kabla sijaizungmzia HLOOKUP hapo kesho
Chief Ethos unagonga mule mule, they say knowledge is power... Mkuu upo vyema sana, ila ningeomba kama utaweza kujitahidi uweke na images kwenye maelezo kama za awali utakuwa umenoga sana....maana maelezo peke yake inasumbua kupata maana

Natanguliza shukrani
 
Sawa mkuu nitajitahidi kufanya hivo...
 
Mkuu nina wazo..tutengeneza group la whatsapp kwa walio tayari I think tungeeleweshana kiurahisi zaidi kwa picha na hata videos. Maana Excell janga Sana kwa wengi. Asante
Tuna Group la telegram link ipo mwanzo wa uzi.. Nadhani tungeanzia hapo.. Nimetumia chanel ya telegram ili kuepusha usumbufu wa chatting na kuweka mtiririko mzuri wa Mada
 
Tuna Group la telegram link ipo mwanzo wa uzi.. Nadhani tungeanzia hapo.. Nimetumia chanel ya telegram ili kuepusha usumbufu wa chatting na kuweka mtiririko mzuri wa Mada

Oooh sure nilikua sijaliona...now nimeshajoin kupitia link ile mwanzoni na nainjoy somo..Asante!
 
Oooh sure nilikua sijaliona...now nimeshajoin kupitia link ile mwanzoni na nainjoy somo..Asante!
Karibu mkuu... Kama utakuwa na swali weka hapa nitalijibu mimi au wadau wengine
 
Back
Top Bottom