Tupeane maujanja ya Excel

Ni changamoto nzuri...lakini hii haina formula maalumu...utaweza tu baada ya kuelewa core formulas kama IF, SUMIF, Vlookup, Avarage, Sum etc... Kitaalam nakushauri ujue kwanza formula na jinsi yaa kutumia ndio utaweza kuandaa hiyo katika excel...
 
Excel/SpreadsheetsTZ:
***INTERVIEW TIP*** [emoji154][emoji161][emoji165]


Unaweza ulizwa tofauti kati ya Formula na Function katika Excel...

Simply, Formula ni zile tunazozindika wenyewe Kwenye Sheet mfano

=A1+A8+D10

FUNCTION ni Ile ambayo unaikuta imeshatengenezwa na developers (Built in) kazi yako ni kuingiza tu enter inakupa jibu...

Mfano VLOOKUP, SUM, IF, COUNTIF, CONCATENATE etc...

Mfano COUNTIF(D5,A1:A10, '' Maembe '')
 
Naomba kuelekezwa Jinsi ya kuchora maumbo ya hisabati na kuyawekea vipimo

Hili jambo huwa linanitesa sana maana huwa naweza kuchagua umbo ila kuweka vipimo na kulishepu nashindwa
 
Darasa nzuri Sana endeleeni kutupa mavituz wakuu
 
Jinsi ya kumerge majina au maneno kwenye cell moja na nyingine yawe kwenye cel moja,,,,stay tunned
 
Me mnisaidie namna ya kutumia au kukokotoa Math & trig katika worksheet excel
Kwenye Sheet yako juu nenda nenda Kwenye Cell yeyote alafu andika

=COS60 then enter itakuletea jibu

=TAN60 then Enter

=TANH70 then enter

=SIN 60 then enter

Simply, Anza na Alama ya sawasawa na andika Trig function unayoijua itatokea na chagua ukibonyeza enter inakupa jibu...

Hakikisha umechagua vizuri ili usije ukawa umeandika Maneno tu

 
Kama una data kidogo na hutaki kuona rows na columns zingine nyingi ambazo zipo empty...

Nenda mwisho data chini na kulia halafu bonyeza CTRL+SHIFT halafu Arrow down

Baada ya hapo right click then chagua HIDE

Fanya hivo hivo Kwa columns zilizopo upande wa kulia


Jiamini, Tumia Excel Kwa Raha [emoji106][emoji106][emoji123][emoji123]
 
Hapa hujaeleweka Mkuu
 
Hapa hujaeleweka Mkuu
Ni kwamba kama Unataka Rows na Columns zenye data zionekane Peke yake


Nenda Row ya mwisho mahali takwimu zako zinaishia halafu bonyeza mwanzo ku select the whole last Row halafu Click CTRL na SHIFT Kwa pamoja then Ile Arrow inaonesha kuelekea chini upande wa kushoto wa Keyboard yako utaona rows zote ziko selected then Right Click halafu chagua hide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…