KACHINJA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,263
- 869
ShukranTayari nimeelezea Kwa Video ili kuokoa muda kule Telegram.. Tafadhali Ingia ucheki
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukranTayari nimeelezea Kwa Video ili kuokoa muda kule Telegram.. Tafadhali Ingia ucheki
![]()
Just format cell then collect customNataka kujua namna ya kuweka 00, mwanzo wa namba mfano nikitaka kuandika namba moja 1, ianze na 001, hivyo hivyo mpaka mwisho
Ni changamoto nzuri...lakini hii haina formula maalumu...utaweza tu baada ya kuelewa core formulas kama IF, SUMIF, Vlookup, Avarage, Sum etc... Kitaalam nakushauri ujue kwanza formula na jinsi yaa kutumia ndio utaweza kuandaa hiyo katika excel...Unauliza maswali mazuri... Hili pia ni swali zuri hope ndugu yetu atatolea ufafanuzi, chukua like....binafsi najuwa kuandaa kwenye karatasi ila kwenye Excel huwa ni mtihani.....naamini hapa nitaongeza Knowledge...labda kwa picha tu huwa inamkao wa hivi. FIFO, LIFO
Date purchase sales balance
Unit|unit cos|to same same
How to quickly combine the first and last names in one cell in Excel?Jinsi ya kumerge majina au maneno kwenye cell moja na nyingine yawe kwenye cel moja,,,,stay tunned
Change text to upper, lower, or proper (normal) font - ExcelHow to change case in excel in excel,,,,, stay tunned
Me mnisaidie namna ya kutumia au kukokotoa Math & trig katika worksheet excelmngesema inapowasumbua ili wakija wataalam wapate pa kuanzia
Kwenye Sheet yako juu nenda nenda Kwenye Cell yeyote alafu andikaMe mnisaidie namna ya kutumia au kukokotoa Math & trig katika worksheet excel
Hapa hujaeleweka MkuuKama una data kidogo na hutaki kuona rows na columns zingine nyingi ambazo zipo empty...
![]()
Nenda mwisho data chini na kulia halafu bonyeza CTRL+SHIFT halafu Arrow down
Baada ya hapo right click then chagua HIDE
Fanya hivo hivo Kwa columns zilizopo upande wa kulia
Jiamini, Tumia Excel Kwa Raha [emoji106][emoji106][emoji123][emoji123]
Ni kwamba kama Unataka Rows na Columns zenye data zionekane Peke yakeHapa hujaeleweka Mkuu