Hujui unachokifanya, stop fooling people, haiwezekani. unachotakiwa kufanya ni kuweka apostrophe then numbers.Asante Kwa Swali Lako Mkuu..
Nenda Kwenye Cell unayotaka iwe affected.. Right Click nenda hadi Kwenye FORMAT CELLS then click baada ya hapo zitatokea options nyingi chagua CUSTOM then upande wa kushoto inatokea options kibao ambazo zinaanza na ## futa weka 0 kulingana na idadi unayotaka then Drag..
Natumaini nimeweza kukujibu. Karibu Kwa Swali lingine...
Hujui unachokifanya, stop fooling people, haiwezekani. unachotakiwa kufanya ni kuweka apostrophe then numbers.
Kupa option ya kuprint row kwenye kila page ... labda utumie hiyo itakusaidia ..Ahsante mkuu ila ipo kwenye excel na nimetengeneza kitu kama kichwa cha habar kwenye kila column ambazo ninatumia kama reference ya kuingiza data so nikiprint inatoka page ya kwanza tu page zingine zinaleta data bila kua na column yenye kichwa cha habari
Tumia command ya sorting A-Z au Z-AKwa mfano hapa napangaje wa kwanza hadi wa mwishoView attachment 441314
Asante sana... Unaweza nitumia Kwenye e mail niiweke Kwenye Group Letu la mafunzo?Mkuu Ethos,
Nakushukuru kwa kuwa na moyo wa kusaidia wengine. Naona wengi hapa wanafaidika na somo lako. Hongera sana.
Nimeona nikuunge mkono kwa kutengeneza 'template' rahisi kwa ajili ya 'kucontrol' mikopo katika vikundi vya ujasiriamali, kuaidiana na hata vikoba. Nimeiambatanisha na andiko hili.
Template hii nimeitengeneza na kuiweka kwa lugha ya kiswahili ili wengi iwanufaishe na kuwasaidia katika kufuatilia mikopo katika vikundi vyao.
Ni matumaini yangu itasaidia.
Nawasilisha.
Amevamia thread ambayo ni nzito kwake... TumsameheMkuu,
Haikutakiwa kujibu namna hiyo. Option anayoiongelea mtoa mada ni sahihi pia kama ambavyo unaweza kutumia TEXT function.
Ni muhimu kumshukuru mtoa mada kwa namna anavyoendesha darasa lake na muda anaoutoa kwa ajili ya kusaidia wengine. Ni wengi wanasaidika hapa.
Tafakari.
Ahsante... na ukitaka kujua wastan wa kila mmojaTumia command ya sorting A-Z au Z-A
Tumia formula .. =AVERAGE(B2:E2) THEN PRESS ENTER ... USE FILL HANDLE TO COPY AND PASTE FORMULAAhsante... na ukitaka kujua wastan wa kila mmoja
Mwisho baada andika =AV(B1:B4) hizo B1 to B4 ndio iwe range ya Alama unazotaka kuzitafutia wastani... Nimetumia B kama mfano
Cheki Kwenye Group Kuna video zinazungmzia hiyo
Ahsante! Unajua unapokuwa unamfundisha mtu assume kwamba hajui lolote ... ukikosea kidogo akajaribu kuandika kama ulivyomwandikia hapati jibu .. matokeo yake anabaki kwa wale wasiojua na wasiotaka kuuliza ili wajue ...Nimerekebisha.. Thanks for the heads up
Naweza kuku add kama admn Kwenye Telegram group uweze share baadhi ya materials?Ahsante! Unajua unapokuwa unamfundisha mtu assume kwamba hajui lolote ... ukikosea kidogo akajaribu kuandika kama ulivyomwandikia hapati jibu .. matokeo yake anabaki kwa wale wasiojua na wasiotaka kuuliza ili wajue ...
Natamani vipindi vyote ninavyofundisha ... niwe napost slides hapa ili waungwana wajisomee.
Ahsante ila ...Naweza kuku add kama admn Kwenye Telegram group uweze share baadhi ya materials?
Safi sana... Karibu tulisongesheAhsante ila ...
Mitandao hiyo mi siitumii ... mi natumia laptop tena ya kizamani .. ila
Ninachochangia hapa ni kwa sababu nimekuwa mtumiaji wa program hizi tangu miaka ya 1998 .. hadi leo ..
Tutakuwa tunakutana hapa najibu maswali mdogo mdogo ...
Walioko jijini Mwanza wanaweza kuniPM nikawatembelea kama wana matatizo kwenye excel ..