Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Asante Kwa Swali Lako Mkuu..

Nenda Kwenye Cell unayotaka iwe affected.. Right Click nenda hadi Kwenye FORMAT CELLS then click baada ya hapo zitatokea options nyingi chagua CUSTOM then upande wa kushoto inatokea options kibao ambazo zinaanza na ## futa weka 0 kulingana na idadi unayotaka then Drag..

Natumaini nimeweza kukujibu. Karibu Kwa Swali lingine...
eeb636925330c0bc626d85e01dd54f9c.jpg
Hujui unachokifanya, stop fooling people, haiwezekani. unachotakiwa kufanya ni kuweka apostrophe then numbers.
 
Hujui unachokifanya, stop fooling people, haiwezekani. unachotakiwa kufanya ni kuweka apostrophe then numbers.
Sawa boss naheshimu mawazo yako... Endelea kuelezea wewe unayejua unachokifanya
 
Hujui unachokifanya, stop fooling people, haiwezekani. unachotakiwa kufanya ni kuweka apostrophe then numbers.

Mkuu,
Haikutakiwa kujibu namna hiyo. Option anayoiongelea mtoa mada ni sahihi pia kama ambavyo unaweza kutumia TEXT function.
Ni muhimu kumshukuru mtoa mada kwa namna anavyoendesha darasa lake na muda anaoutoa kwa ajili ya kusaidia wengine. Ni wengi wanasaidika hapa.

Tafakari.
 
Mkuu Ethos,

Nakushukuru kwa kuwa na moyo wa kusaidia wengine. Naona wengi hapa wanafaidika na somo lako. Hongera sana.

Nimeona nikuunge mkono kwa kutengeneza 'template' rahisi kwa ajili ya 'kucontrol' mikopo katika vikundi vya ujasiriamali, kuaidiana na hata vikoba. Nimeiambatanisha na andiko hili.

Template hii nimeitengeneza na kuiweka kwa lugha ya kiswahili ili wengi iwanufaishe na kuwasaidia katika kufuatilia mikopo katika vikundi vyao.

Ni matumaini yangu itasaidia.

Nawasilisha.
 
Ahsante mkuu ila ipo kwenye excel na nimetengeneza kitu kama kichwa cha habar kwenye kila column ambazo ninatumia kama reference ya kuingiza data so nikiprint inatoka page ya kwanza tu page zingine zinaleta data bila kua na column yenye kichwa cha habari
Kupa option ya kuprint row kwenye kila page ... labda utumie hiyo itakusaidia ..
Ni kama ifuatavyo:-

Print row or column labels on every page
  1. Select the worksheet or worksheets that you want to print.
    blueup_CLV.gif
    How to select worksheets

    To select Do this
    A single sheet Click the sheet tab.
    sheettab_ZA06052171.gif

    If you don't see the tab that you want, click the tab scrolling buttons to display the tab, and then click the tab.

    tabscrll_ZA06052106.gif

    Two or more adjacent sheets Click the tab for the first sheet. Then hold down SHIFT while you click the tab for the last sheet that you want to select.
    Two or more nonadjacent sheets Click the tab for the first sheet. Then hold down CTRL while you click the tabs of the other sheets that you want to select.
    All sheets in a workbook Right-click a sheet tab, and then click Select All Sheets on the shortcut menu (shortcut menu: A menu that shows a list of commands relevant to a particular item. To display a shortcut menu, right-click an item or press SHIFT+F10.).
    Tip When multiple worksheets are selected, [Group] appears in the title bar at the top of the worksheet. To cancel a selection of multiple worksheets in a workbook, click any unselected worksheet. If no unselected sheet is visible, right-click the tab of a selected sheet, and then click Ungroup Sheets on the shortcut menu.

  2. On the Page Layout tab, in the Page Setup group, click Print Titles.
    xl_PageLayout_Page_Setup_ZA10165442.gif

  3. On the Sheet tab, in the Page Setup dialog box, do one or both of the following:
    • In the Rows to repeat at top box, type the reference of the rows that contain the column labels.
    • In the Columns to repeat at left box, type the reference of the columns that contain the row labels.
    Tip You can also click the Collapse Dialog button at the right end of the Rows to repeat at top and Columns to repeat at left boxes, and then select the title rows or columns that you want to repeat in the worksheet. When you finish selecting the title rows or columns, click the Collapse Dialog button again to return to the dialog box.

  4. Click Print.
Ikikuzengua nitafute kwa PM nikuelekeze kwa simu ..
 
Mkuu Ethos,

Nakushukuru kwa kuwa na moyo wa kusaidia wengine. Naona wengi hapa wanafaidika na somo lako. Hongera sana.

Nimeona nikuunge mkono kwa kutengeneza 'template' rahisi kwa ajili ya 'kucontrol' mikopo katika vikundi vya ujasiriamali, kuaidiana na hata vikoba. Nimeiambatanisha na andiko hili.

Template hii nimeitengeneza na kuiweka kwa lugha ya kiswahili ili wengi iwanufaishe na kuwasaidia katika kufuatilia mikopo katika vikundi vyao.

Ni matumaini yangu itasaidia.

Nawasilisha.
Asante sana... Unaweza nitumia Kwenye e mail niiweke Kwenye Group Letu la mafunzo?
 
Mkuu,
Haikutakiwa kujibu namna hiyo. Option anayoiongelea mtoa mada ni sahihi pia kama ambavyo unaweza kutumia TEXT function.
Ni muhimu kumshukuru mtoa mada kwa namna anavyoendesha darasa lake na muda anaoutoa kwa ajili ya kusaidia wengine. Ni wengi wanasaidika hapa.

Tafakari.
Amevamia thread ambayo ni nzito kwake... Tumsamehe
 
Ahsante... na ukitaka kujua wastan wa kila mmoja
Mwisho baada andika =AVERAGE (B1:B4) hizo B1 to B4 ndio iwe range ya Alama unazotaka kuzitafutia wastani... Nimetumia B kama mfano

Cheki Kwenye Group Kuna video zinazungmzia hiyo
 
Mwisho baada andika =AV(B1:B4) hizo B1 to B4 ndio iwe range ya Alama unazotaka kuzitafutia wastani... Nimetumia B kama mfano

Cheki Kwenye Group Kuna video zinazungmzia hiyo

UMEKOSEA AU?
MBONA KWENYE LIST YA FUNCTIONS SIONI HIYO AV? Au unatumia excel ipi?
 
Nimerekebisha.. Thanks for the heads up
Ahsante! Unajua unapokuwa unamfundisha mtu assume kwamba hajui lolote ... ukikosea kidogo akajaribu kuandika kama ulivyomwandikia hapati jibu .. matokeo yake anabaki kwa wale wasiojua na wasiotaka kuuliza ili wajue ...
Natamani vipindi vyote ninavyofundisha ... niwe napost slides hapa ili waungwana wajisomee.
 
Naweza kuku add kama admn Kwenye Telegram group uweze share baadhi ya materials?
 
Naweza kuku add kama admn Kwenye Telegram group uweze share baadhi ya materials?
Ahsante ila ...
Mitandao hiyo mi siitumii ... mi natumia laptop tena ya kizamani .. ila
Ninachochangia hapa ni kwa sababu nimekuwa mtumiaji wa program hizi tangu miaka ya 1998 .. hadi leo ..
Tutakuwa tunakutana hapa najibu maswali mdogo mdogo ...
Walioko jijini Mwanza wanaweza kuniPM nikawatembelea kama wana matatizo kwenye excel ..
 
Safi sana... Karibu tulisongeshe
 
Back
Top Bottom