Kwanini usitumie sum product mkuu? Sum product ni rahisi zaidi kuliko kudeal na multiple lookupNaomba kufahamu jinsi ya kureturn many columns at once kwa kutumia vlookup
Baadhi ya data zinakua nje ya range uliyoandika kwenye formula ya SUM, kwenye range unaweza ukatumia formula ya offset ambayo itatengeneza dynamic rangemim kiukwel excel inanisumbua sana, kifup siijui.
Mfano nikitaka kujumlisha hesabu za biashara nazofanya, inaniletea majibu ambayo hayapo, yaan kwa mfano nikitumia kikokotoo cha kawaida,jumla ya hesabu labda itakuwa ni tshs 3,025,000/= lakini nikitumia excel kujumlisha kwa mujibu wa formula husika inaniletea labda tshs 52600/=
sasa hapo sijajua tatizo ni nin!
Ukitaka kupiga penalty,utaongeza hii formula ktk formula yako ya kutafuta divisionUkitaka kupiga penalty,utaongeza hii formula ktk formula yako ya kutafuta division
{=IF(AND(G12Assume G12 ni marks za kiswahili na H21 ni point za division
Maanake ni kwamba kama kiswahili amepata chini ya 21, na point za division ni chini au sawa sawa na 21(means div 1 na div 2) basi idisplay DIVISION III
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia screenshot hiyo mana nikiandika fomula inajikata yenyeweUkitaka kupiga penalty,utaongeza hii formula ktk formula yako ya kutafuta division
=IF(AND(G12Assume G12 ni marks za kiswahili na H21 ni point za division
Maanake ni kwamba kama kiswahili amepata chini ya 21, na point za division ni chini au sawa sawa na 21(means div 1 na div 2) basi idisplay DIVISION IIIView attachment 1067719
Sent using Jamii Forums mobile app
Logical functions ni functions ambazo zinatest condition na kuleta true/false. Mfano wa logical functions ni or,and,exact,is number,isodd,isblank,not n.kTujuzane juu ya Logical functions
Ukishaiweka button yako kwenye sheet,right click button yako then click properties. Ukiclick properties kuna options zitakuja chagua control. Ktk hiko kipengele cha control utaona sehemu imeandikwa cell link, hapo ndo utaweka jina na cell unayotaka kuilink na button yakoGuys napenda kujua jins excel inavyolink na visual basic then mtu unaweza tengeneza buttons, entry fields. Then unatengeneza button kama clear na forms. Naomba kujua
Zote ziko fasta kuna mahali tu unakosea ktk kuandika formula, moja ya ubaya wa lookup functions ni kwamba huwa zinareturn zero when cell is blank. Hii inamfanya mtu ashindwe kutofautisha kama cell ina zero value ama ni blank kwasababu jibu ni moja kwa zero na blank.Kwa upande wangu mkuu nimeona ni iko fasta than if mkuu na nimeielewa vizur sana tofauti na if huwa inanigomeaga wakati mwingine napo itumia mkuu.vipi kuna ubaya katika hili mkuu?
Unaweza ukatumia function ya length pia eg LEN kuicommand vlookup isilete zero when LEN =0(blank)Kwa upande wangu mkuu nimeona ni iko fasta than if mkuu na nimeielewa vizur sana tofauti na if huwa inanigomeaga wakati mwingine napo itumia mkuu.vipi kuna ubaya katika hili mkuu?
Unaweza ukajaribu hata leo, hiyo 19 kwenye formula ibadilishe andika 13 halafu kesho asubuhi au ikifika saa 6 na dakika 1 usiku iangalie data yako, utaona imebadilikaKama utakua una tatizo au task yoyote inayohusiana na excel, liweke hapa tusaidiane.
Nimeweka screen shot kwasababu ukiandika na kutuma,formula inajikata inakuja nusu View attachment 1070248
Uko vizuri.Unaweza ukajaribu hata leo, hiyo 19 kwenye formula ibadilishe andika 13 halafu kesho asubuhi au ikifika saa 6 na dakika 1 usiku iangalie data yako, utaona imebadilika
Pamoja,Nipe swali mkuu
Pamoja,Nipe swali mkuu
Anza na IFERROR function kuescape error, rank huwa inadisplay ## inapokutana na non numerical dataNawezaje ku-rank items zenye mchanganyiko wa numeral & non-numeral?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukaidrag formula yako kwa cells zilizobaki kwasababu reference tumeifix na hizo $, huna haja ya kuandika fomula ktk kila cell zilizobakiaAnza na IFERROR function kuescape error, rank huwa inadisplay ## inapokutana na non numerical data
=IFERROR (RANK(J20,$J$20:$J$40,0),"")
Hapo utakua umeicommand rank idisplay blank inapokutana na non numerical data. Rank itakua inadeal na namba pekee
Anza na IFERROR function kuescape error, rank huwa inadisplay ## inapokutana na non numerical data
=IFERROR (RANK(J20,$J$20:$J$40,0),"")
Hapo utakua umeicommand rank idisplay blank inapokutana na non numerical data. Rank itakua inadeal na namba pekee
unajua excel inafanya kazi kama BODMASS inavyofanya, ukibadili mpangilio na maana inabadilika. Hapo kwenye tab juu kuna mahali pameandikwa formula, ukiclick utaona sehem imeandikwa sub list ambayo moja wapo ni evaluate. Hiyo evaluate inakusaidia kujua argument ipi inaanza kufanyiwa kazi kabla ya nyingine. Mpangilio wa arguments zako inategemea na wewe unachotaka kiweNgoja nijaribu, japokuwa nilijaribu kwa kutumia hiyo "IFERROR" ila ilikuwa inaanza rank then iferror. Ilikuwa inagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Formula ambayo inaleta error ni rank, na IFERROR kazi yake ni kutest error. Kama kuna error itaandika true ,kama hakuna itaandika false kwa hiyo wewe unachokiwa kufanya ni kuiacha formula ya rank ifanye kazi yake na kuitest value itayoletwa na rank kama ina error au lah. Badala ya true ambayo inaletwa na IFERROR, wewe unaicommand ilete blank badala ya true. Sijui umepata logic hapo?Ngoja nijaribu, japokuwa nilijaribu kwa kutumia hiyo "IFERROR" ila ilikuwa inaanza rank then iferror. Ilikuwa inagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bomba sana, nimekupata vyema boss wangu.Formula ambayo inaleta error ni rank, na IFERROR kazi yake ni kutest error. Kama kuna error itaandika true ,kama hakuna itaandika false kwa hiyo wewe unachokiwa kufanya ni kuiacha formula ya rank ifanye kazi yake na kuitest value itayoletwa na rank kama ina error au lah. Badala ya true ambayo inaletwa na IFERROR, wewe unaicommand ilete blank badala ya true. Sijui umepata logic hapo?