Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

mim kiukwel excel inanisumbua sana, kifup siijui.
Mfano nikitaka kujumlisha hesabu za biashara nazofanya, inaniletea majibu ambayo hayapo, yaan kwa mfano nikitumia kikokotoo cha kawaida,jumla ya hesabu labda itakuwa ni tshs 3,025,000/= lakini nikitumia excel kujumlisha kwa mujibu wa formula husika inaniletea labda tshs 52600/=
sasa hapo sijajua tatizo ni nin!
Baadhi ya data zinakua nje ya range uliyoandika kwenye formula ya SUM, kwenye range unaweza ukatumia formula ya offset ambayo itatengeneza dynamic range
Eg =SUM(OFFESET(B1,0,0,COUNTIF(B1:B100,"<>"
")
Function ya COUNT inatuletea column length ambazo sio blank , 0 row na 0 column inaretain B1 kuwa reference (sum ianzie B1 )
Faida nyingine ya kutumia offset badala ya range ni pale kwenye drop down list,huwa inasaidia kuaongeza/kupunguza data ambayo imeongezwa/kupunguzwa kwenye reference yako.
Unajua ukiweka drop down list then ukaongeza data nyingine mfano kwenye student list, kule kwenye drop list hutoona data uliyoiongeza baada ya reference lakini ukitumia offset data zinajiupdate zenyewe, ukifuta/kuongeza kwenye drop down list pia inajiupdate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kupiga penalty,utaongeza hii formula ktk formula yako ya kutafuta division
{=IF(AND(G12Assume G12 ni marks za kiswahili na H21 ni point za division
Maanake ni kwamba kama kiswahili amepata chini ya 21, na point za division ni chini au sawa sawa na 21(means div 1 na div 2) basi idisplay DIVISION III

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kupiga penalty,utaongeza hii formula ktk formula yako ya kutafuta division
=IF(AND(G12Assume G12 ni marks za kiswahili na H21 ni point za division
Maanake ni kwamba kama kiswahili amepata chini ya 21, na point za division ni chini au sawa sawa na 21(means div 1 na div 2) basi idisplay DIVISION III
Screenshot_20190410-160440.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kupiga penalty,utaongeza hii formula ktk formula yako ya kutafuta division
=IF(AND(G12Assume G12 ni marks za kiswahili na H21 ni point za division
Maanake ni kwamba kama kiswahili amepata chini ya 21, na point za division ni chini au sawa sawa na 21(means div 1 na div 2) basi idisplay DIVISION IIIView attachment 1067719

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia screenshot hiyo mana nikiandika fomula inajikata yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys napenda kujua jins excel inavyolink na visual basic then mtu unaweza tengeneza buttons, entry fields. Then unatengeneza button kama clear na forms. Naomba kujua
Ukishaiweka button yako kwenye sheet,right click button yako then click properties. Ukiclick properties kuna options zitakuja chagua control. Ktk hiko kipengele cha control utaona sehemu imeandikwa cell link, hapo ndo utaweka jina na cell unayotaka kuilink na button yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mkuu nimeona ni iko fasta than if mkuu na nimeielewa vizur sana tofauti na if huwa inanigomeaga wakati mwingine napo itumia mkuu.vipi kuna ubaya katika hili mkuu?
Zote ziko fasta kuna mahali tu unakosea ktk kuandika formula, moja ya ubaya wa lookup functions ni kwamba huwa zinareturn zero when cell is blank. Hii inamfanya mtu ashindwe kutofautisha kama cell ina zero value ama ni blank kwasababu jibu ni moja kwa zero na blank.
Kuidivert hiyo zero, itabidi uweke hii condition =IF(VLOOKUP(G6,H4:K10,2,FALSE)="","",VLOOKUP(G6,H4:K10,2,FALSE))
Hiyo formula itareturn blank kama cell ni blank vinginevyo itaendelea kuleta jibu la hiyo vlookup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mkuu nimeona ni iko fasta than if mkuu na nimeielewa vizur sana tofauti na if huwa inanigomeaga wakati mwingine napo itumia mkuu.vipi kuna ubaya katika hili mkuu?
Unaweza ukatumia function ya length pia eg LEN kuicommand vlookup isilete zero when LEN =0(blank)
=IF(LEN(VLOOKUP(G10,H4:K12,2,FALSE))=0,"",VLOOKUP(G10,H4:K12,2,FALSE))
Choice is yours

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utakua una tatizo au task yoyote inayohusiana na excel, liweke hapa tusaidiane.
Nimeweka screen shot kwasababu ukiandika na kutuma,formula inajikata inakuja nusu View attachment 1070248
Unaweza ukajaribu hata leo, hiyo 19 kwenye formula ibadilishe andika 13 halafu kesho asubuhi au ikifika saa 6 na dakika 1 usiku iangalie data yako, utaona imebadilika
 
Nawezaje ku-rank items zenye mchanganyiko wa numeral & non-numeral?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na IFERROR function kuescape error, rank huwa inadisplay ## inapokutana na non numerical data

=IFERROR (RANK(J20,$J$20:$J$40,0),"")
Hapo utakua umeicommand rank idisplay blank inapokutana na non numerical data. Rank itakua inadeal na namba pekee
 
Unaweza ukaidrag formula yako kwa cells zilizobaki kwasababu reference tumeifix na hizo $, huna haja ya kuandika fomula ktk kila cell zilizobakia
 
Ngoja nijaribu, japokuwa nilijaribu kwa kutumia hiyo "IFERROR" ila ilikuwa inaanza rank then iferror. Ilikuwa inagoma.
Anza na IFERROR function kuescape error, rank huwa inadisplay ## inapokutana na non numerical data

=IFERROR (RANK(J20,$J$20:$J$40,0),"")
Hapo utakua umeicommand rank idisplay blank inapokutana na non numerical data. Rank itakua inadeal na namba pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijaribu, japokuwa nilijaribu kwa kutumia hiyo "IFERROR" ila ilikuwa inaanza rank then iferror. Ilikuwa inagoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua excel inafanya kazi kama BODMASS inavyofanya, ukibadili mpangilio na maana inabadilika. Hapo kwenye tab juu kuna mahali pameandikwa formula, ukiclick utaona sehem imeandikwa sub list ambayo moja wapo ni evaluate. Hiyo evaluate inakusaidia kujua argument ipi inaanza kufanyiwa kazi kabla ya nyingine. Mpangilio wa arguments zako inategemea na wewe unachotaka kiwe
 
Ngoja nijaribu, japokuwa nilijaribu kwa kutumia hiyo "IFERROR" ila ilikuwa inaanza rank then iferror. Ilikuwa inagoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Formula ambayo inaleta error ni rank, na IFERROR kazi yake ni kutest error. Kama kuna error itaandika true ,kama hakuna itaandika false kwa hiyo wewe unachokiwa kufanya ni kuiacha formula ya rank ifanye kazi yake na kuitest value itayoletwa na rank kama ina error au lah. Badala ya true ambayo inaletwa na IFERROR, wewe unaicommand ilete blank badala ya true. Sijui umepata logic hapo?
 
Bomba sana, nimekupata vyema boss wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom