kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Formula ambayo inaleta error ni rank, na IFERROR kazi yake ni kutest error. Kama kuna error itaandika true ,kama hakuna itaandika false kwa hiyo wewe unachokiwa kufanya ni kuiacha formula ya rank ifanye kazi yake na kuitest value itayoletwa na rank kama ina error au lah. Badala ya true ambayo inaletwa na IFERROR, wewe unaicommand ilete blank badala ya true. Sijui umepata logic hapo?
Kwa sasa sina matumizi sana na laptop mkuu, inaweza ikapita hata wiki nisiiguse kabisa. Tutaelekezana tu hivyo hivyo maana Jf yenyewe pia haikubali kuattach videoMkuu tengeza tutorial videos ili wakina sie tukufaidi vizur zaid. Au unasemaje boss wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaelekezana tu hivyo hivyo maana Jf yenyewe pia haikubali kuattach video
Pamoja mkuuUnaweka links za videos kutoka u-tube.
Ila hata kupitia JF tunajifunza vizuri tu, suala la tutorial videos yalikuwa ni maoni yangu.
Kongole kwako Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee hayo maswali kama unayakumbukaNiliwahi itwa interview sehemu,tukaingizwa chumba kina computer nyingi sana,tukafunguliwa excell,imeshaandaliwa pale na data kibao,wameeka na maswali mengi,duh!,nilihaha.....tukamaliza tukaondoka,....tukapanda daradara wana kama watano kurudi home maana tulikua tunaelekea uelekeo mmoja,tukawa tunapiga stori kwenye daradara,kama baada ya dk 15 jamaa yetu mmoja akapigiwa simu kua arudi kesho kwa ajiri ya oral interview maana ka pass Excell daa niliona wivu sana,mimi nilisubiri simu mpaka isiku sikupigiwa,...baada ya hapo nikaapa takomaa na excell maana sipo tayari kupoteza chance muhimu just kwa kitu ambacho naweza jifunza,....nilianza kujifunza mwenyewe kupitia online,nilitafta tutorial videos kama 80 hivi...za GB kadhaa,nikaanza kupitia...ninazo mpaka leo kwenye pc yangu,...nikawa mkali wa excell hatari... kwaiyo nikiwa katika ratiba zangu za kuongeza maarifa na kusoma vitu huwa nazipitia nazo,...Vlookup ilikua inanitesa lakini for now,asilimia 90 excell naimudu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vlookup inatumiwa kwa kazi ganiNiliwahi itwa interview sehemu,tukaingizwa chumba kina computer nyingi sana,tukafunguliwa excell,imeshaandaliwa pale na data kibao,wameeka na maswali mengi,duh!,nilihaha.....tukamaliza tukaondoka,....tukapanda daradara wana kama watano kurudi home maana tulikua tunaelekea uelekeo mmoja,tukawa tunapiga stori kwenye daradara,kama baada ya dk 15 jamaa yetu mmoja akapigiwa simu kua arudi kesho kwa ajiri ya oral interview maana ka pass Excell daa niliona wivu sana,mimi nilisubiri simu mpaka isiku sikupigiwa,...baada ya hapo nikaapa takomaa na excell maana sipo tayari kupoteza chance muhimu just kwa kitu ambacho naweza jifunza,....nilianza kujifunza mwenyewe kupitia online,nilitafta tutorial videos kama 80 hivi...za GB kadhaa,nikaanza kupitia...ninazo mpaka leo kwenye pc yangu,...nikawa mkali wa excell hatari... kwaiyo nikiwa katika ratiba zangu za kuongeza maarifa na kusoma vitu huwa nazipitia nazo,...Vlookup ilikua inanitesa lakini for now,asilimia 90 excell naimudu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee inatumika sehemu nyingi sana kwenye data analysis,nashindwa kueleza exactly kazi yake,ila ni formula inayotumika ku analyse data,ku estimate list ya data flani....ni basic muhimu kwenye excell...Vlookup inatumiwa kwa kazi gani
Punguza hakuna mtu/mtaalamu anaweza kuitumia excel 90% , muhimu umejifunza na umefahamu kwa kadri yako ila bwankaka ipo kama jina lake ni kubwa na pana mnoooooo, kuna part ya mainjinia, business, economics, statistics, planners na wengi wengine na kila mmoja anatumja kwa sehemu yakeNiliwahi itwa interview sehemu,tukaingizwa chumba kina computer nyingi sana,tukafunguliwa excell,imeshaandaliwa pale na data kibao,wameeka na maswali mengi,duh!,nilihaha.....tukamaliza tukaondoka,....tukapanda daradara wana kama watano kurudi home maana tulikua tunaelekea uelekeo mmoja,tukawa tunapiga stori kwenye daradara,kama baada ya dk 15 jamaa yetu mmoja akapigiwa simu kua arudi kesho kwa ajiri ya oral interview maana ka pass Excell daa niliona wivu sana,mimi nilisubiri simu mpaka isiku sikupigiwa,...baada ya hapo nikaapa takomaa na excell maana sipo tayari kupoteza chance muhimu just kwa kitu ambacho naweza jifunza,....nilianza kujifunza mwenyewe kupitia online,nilitafta tutorial videos kama 80 hivi...za GB kadhaa,nikaanza kupitia...ninazo mpaka leo kwenye pc yangu,...nikawa mkali wa excell hatari... kwaiyo nikiwa katika ratiba zangu za kuongeza maarifa na kusoma vitu huwa nazipitia nazo,...Vlookup ilikua inanitesa lakini for now,asilimia 90 excell naimudu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee hayo maswali kama unayakumbuka
Punguza hakuna mtu/mtaalamu anaweza kuitumia excel 90% , muhimu umejifunza na umefahamu kwa kadri yako ila bwankaka ipo kama jina lake ni kubwa na pana mnoooooo, kuna part ya mainjinia, business, economics, statistics, planners na wengi wengine na kila mmoja anatumja kwa sehemu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi wanatatizika na lookup functions, siku nikipata muda nitaelezea mbadala wake SUMPRODUCT. Na uzuri wa SUMPRODUCT function ni kwamba ina uwezo wa kufanya multiple lookupVlookup inatumiwa kwa kazi gani
Hujaweka dollar sign $ kwenye array yako, kazi ya $ ni kuifix array yako isibadilike pale unapodrag formula yako( mfano kutoka D5😀20 kwenda D6😀21 kitu ambacho kitaifanya D5 iachwe na kuongezeka cell ya D21) . Formula itakuwa inabadilika kwenye D5 tu mf D6,D7,D8 n.knapata shida kwenye kurank matokeo,,,kila nikifika kwenye hatua ya kuclick F4 kwa kadri nilivofuatilia inakuja alama ya projection upande wa kulia wa screen msaada wapi nakosea wadau
Kama nitakuwa sijakujibu, tuma picha ya data zakonapata shida kwenye kurank matokeo,,,kila nikifika kwenye hatua ya kuclick F4 kwa kadri nilivofuatilia inakuja alama ya projection upande wa kulia wa screen msaada wapi nakosea wadau
Habari mkuu? Unaweza ukaelezea jinsi ya kuitengeneza PAYE formula? Huwa kila nikijitahidi kui-master nashindwa. Hizo comma na brackets nyinginyingi huwa nashindwa kuzielewa kabisa matumizi yake.Kama nitakuwa sijakujibu, tuma picha ya data zako
ngoja niifanyie kazi ikigoma takutumiaKama nitakuwa sijakujibu, tuma picha ya data zako