Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Mkuu tengeza tutorial videos ili wakina sie tukufaidi vizur zaid. Au unasemaje boss wangu.
Formula ambayo inaleta error ni rank, na IFERROR kazi yake ni kutest error. Kama kuna error itaandika true ,kama hakuna itaandika false kwa hiyo wewe unachokiwa kufanya ni kuiacha formula ya rank ifanye kazi yake na kuitest value itayoletwa na rank kama ina error au lah. Badala ya true ambayo inaletwa na IFERROR, wewe unaicommand ilete blank badala ya true. Sijui umepata logic hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wanaopendelea kutumia drop down list ya kwenye data validation, kuna muda huwa inafika unataka list ibadilike kutokana na condition flani mfano una list ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne, sasa unataka ukiclick FORM II, list ya FORM I ijiupdate ije list ya FORM 2

Haya tuanze
Tengeneza drop list ya kidato, form 1 mpaka form 4 kwenye cell yoyote mf L20

Tafuta cell nyingine ambayo unataka jina la mwanafunzi likae, kisha fata step zote kama ilivyo kawaida na ukifika kwenye source andika hii formula

=IF($L$20="FORM I", $H$8:$H$108,IF($L$20="FORM II", $G$8:$G$108,IF($L$20="FORM III", $K$8:$K$108,
IF($L$20="FORM IV", $M$8:$M$108))))

Huo ni mfano tu, $L$20 na hizo range utaweka zako kulingana na data zako zilipo ktk worksheet yako
 
Niliwahi itwa interview sehemu,tukaingizwa chumba kina computer nyingi sana,tukafunguliwa excell,imeshaandaliwa pale na data kibao,wameeka na maswali mengi,duh!,nilihaha.....tukamaliza tukaondoka,....tukapanda daradara wana kama watano kurudi home maana tulikua tunaelekea uelekeo mmoja,tukawa tunapiga stori kwenye daradara,kama baada ya dk 15 jamaa yetu mmoja akapigiwa simu kua arudi kesho kwa ajiri ya oral interview maana ka pass Excell daa niliona wivu sana,mimi nilisubiri simu mpaka isiku sikupigiwa,...baada ya hapo nikaapa takomaa na excell maana sipo tayari kupoteza chance muhimu just kwa kitu ambacho naweza jifunza,....nilianza kujifunza mwenyewe kupitia online,nilitafta tutorial videos kama 80 hivi...za GB kadhaa,nikaanza kupitia...ninazo mpaka leo kwenye pc yangu,...nikawa mkali wa excell hatari... kwaiyo nikiwa katika ratiba zangu za kuongeza maarifa na kusoma vitu huwa nazipitia nazo,...Vlookup ilikua inanitesa lakini for now,asilimia 90 excell naimudu..

Tuwekee hayo maswali kama unayakumbuka
 
Vlookup inatumiwa kwa kazi gani
 
Punguza hakuna mtu/mtaalamu anaweza kuitumia excel 90% , muhimu umejifunza na umefahamu kwa kadri yako ila bwankaka ipo kama jina lake ni kubwa na pana mnoooooo, kuna part ya mainjinia, business, economics, statistics, planners na wengi wengine na kila mmoja anatumja kwa sehemu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hawaulizi "what's a cell?au what is a formula?,tumeenda pale wametupa data nyingi kweli za product flani,wanataka uanalyse vitu flani....enzi hizo hata sijui kutumia sumif...logical test nilikua hata sifahamu ni nini,...,mara sijui andaa data design ya multiplication table,nilichoka,nashani nilipata zero pale,alafu nilikua wamoto fresh school na ka degree kangu mkononi,.....
Tuwekee hayo maswali kama unayakumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna Basic za excell zinaingia kote kote lazima uzijue,kwaiyo inakua rahisi...
Punguza hakuna mtu/mtaalamu anaweza kuitumia excel 90% , muhimu umejifunza na umefahamu kwa kadri yako ila bwankaka ipo kama jina lake ni kubwa na pana mnoooooo, kuna part ya mainjinia, business, economics, statistics, planners na wengi wengine na kila mmoja anatumja kwa sehemu yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napata shida kwenye kurank matokeo,,,kila nikifika kwenye hatua ya kuclick F4 kwa kadri nilivofuatilia inakuja alama ya projection upande wa kulia wa screen msaada wapi nakosea wadau
 
Hujaweka dollar sign $ kwenye array yako, kazi ya $ ni kuifix array yako isibadilike pale unapodrag formula yako( mfano kutoka D5😀20 kwenda D6😀21 kitu ambacho kitaifanya D5 iachwe na kuongezeka cell ya D21) . Formula itakuwa inabadilika kwenye D5 tu mf D6,D7,D8 n.k
Andika hivi then drag
=RANK(D5,$D$5:$D$20,0)
 
napata shida kwenye kurank matokeo,,,kila nikifika kwenye hatua ya kuclick F4 kwa kadri nilivofuatilia inakuja alama ya projection upande wa kulia wa screen msaada wapi nakosea wadau
Kama nitakuwa sijakujibu, tuma picha ya data zako
 
Habari mkuu? Unaweza ukaelezea jinsi ya kuitengeneza PAYE formula? Huwa kila nikijitahidi kui-master nashindwa. Hizo comma na brackets nyinginyingi huwa nashindwa kuzielewa kabisa matumizi yake.
 
Back
Top Bottom