Tengeneza ya local kwanzaSalama wakuu? Mi naomba msaada wa kutengeneza spreadsheet ya kucontrol mikopo na marejesho yake
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Futa kwanza hizo nukta Kwa njia ya replace. Najua utabaki mkato, fine, futa mkato Kwa njia hiyo hiyo ya replace Kwa kubadilishana na nukta. Kisha maliza kazi Kwa kutumia comma style separator format.
Mkuu kumbuka ni column ziko tano ,alafu ni amount ambazo zigine zipo kwenye mamia,zingine makumi,zingine maelf. Nifafanulie vizuri nikuelewe mkuuFuta kwanza hizo nukta Kwa njia ya replace. Najua utabaki mkato, fine, futa mkato Kwa njia hiyo hiyo ya replace Kwa kubadilishana na nukta. Kisha maliza kazi Kwa kutumia comma style separator format.
Enjoy yourself.
Haijalishi columns ziko ngapi. Linawezekana kabisa Kwa jinsi ulivyoelezea.Mkuu kumbuka ni column ziko tano ,alafu ni amount ambazo zigine zipo kwenye mamia,zingine makumi,zingine maelf. Nifafanulie vizuri nikuelewe mkuu
Nitakuelekeza baadaye nikitoka ktk majukumu yangu. Sababu Lazima niwe na kompyuta Ili unielewe vizuri.Mkuu kumbuka ni column ziko tano ,alafu ni amount ambazo zigine zipo kwenye mamia,zingine makumi,zingine maelf. Nifafanulie vizuri nikuelewe mkuu
Mkuu nimeselect column nikafanya Ctrl +F, nika find na ku replace all lakini ika replace kwenye cell moja na cell zingine zikabaki kama zilivo, nimejaribu kwenye options bado nimekwamaNitakuelekeza baadaye nikitoka ktk majukumu yangu. Sababu Lazima niwe na kompyuta Ili unielewe vizuri.
Fuata steps hizi:Mkuu nimeselect column nikafanya Ctrl +F, nika find na ku replace all lakini ika replace kwenye cell moja na cell zingine zikabaki kama zilivo, nimejaribu kwenye options bado nimekwama
Fuata steps hizi:
1. Highlights columns zote kuanzia Juu kwenda chini.
2. Nenda sehemu imeandikwa "find & select, Click hapo.
3. Click palipoandikwa " replace". Dialog box itafunguka.
4. Weka alama ya mkato (,) katika kibox kilichoandikwa "find what".
5. Kibox kilichoandikwa "replace with" usiweke kitu-yaani usiandike chochote kile.
6. Bonyeza sehemu palipoandikwa "Replace All". Utaona alama ya mkato imetoka/imefutwa sehemu zote katika amount zako.
7. Bonyeza "close" dialog box.
8. Wakati columns zikiwa Bado highlighted, nenda sehemu ya riboni. Angalia sehemu imeandikwa "Number" ambapo utapata feature ya Dola ($), percent (%), mkato (,) na alama za tumshale ([emoji3594]) ([emoji3591]) kuonyesha viwango vya desimali.
9. Bonyeza alama ya mkato (,) ili kutenganisha namba katika maelfu-"thousands separator".
10. Umemaliza kazi. Kama Bado Kuna shida utafunguka.
Bado ni kashehe mkuuFuata steps hizi:

Amounts ulizo highlights ni baada ya ku-replace au kabla ya ku-replace.Bado ni kashehe mkuu
Tuma screenshot ya amounts zako kabla ya ku-highlight na ku-replace.Bado ni kashehe mkuu
Kabla ya ku replaceAmounts ulizo highlights ni baada ya ku-replace au kabla ya ku-replace.
Kabla ya ku replace
Bahati mbaya mkuu nimeshatoka ofisini....Tuma screenshot ya amounts zako kabla ya ku-highlight na ku-replace.
Poa! hata kesho utaituma screenshot Ili niangalie hizo figures zimekaaje. Maana Kwa jinsi ulivyoelezea mwanzoni na kutoa mfano ilikuwa ni kitu rahisi sana.Bahati mbaya mkuu nimeshatoka ofisini....