Fuata steps hizi:
1. Highlights columns zote kuanzia Juu kwenda chini.
2. Nenda sehemu imeandikwa "find & select, Click hapo.
3. Click palipoandikwa " replace". Dialog box itafunguka.
4. Weka alama ya mkato (,) katika kibox kilichoandikwa "find what".
5. Kibox kilichoandikwa "replace with" usiweke kitu-yaani usiandike chochote kile.
6. Bonyeza sehemu palipoandikwa "Replace All". Utaona alama ya mkato imetoka/imefutwa sehemu zote katika amount zako.
7. Bonyeza "close" dialog box.
8. Wakati columns zikiwa Bado highlighted, nenda sehemu ya riboni. Angalia sehemu imeandikwa "Number" ambapo utapata feature ya Dola ($), percent (%), mkato (,) na alama za tumshale ([emoji3594]) ([emoji3591]) kuonyesha viwango vya desimali.
9. Bonyeza alama ya mkato (,) ili kutenganisha namba katika maelfu-"thousands separator".
10. Umemaliza kazi. Kama Bado Kuna shida utafunguka.