Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Msaada wakuu nina namba zipo kwa mfumo huu
12.465.372,00 nataka ziwe kwa mfumo huu 12,465,372.00
Nimejaribu kufomart cell,customs,text, sijui general lakini wapi
Cc: Njuka II Ethos Tutor B
 
Naona mwenye uzi kautelekeza na kule telegram...
 
Msaada wakuu nina namba zipo kwa mfumo huu
12.465.372,00 nataka ziwe kwa mfumo huu 12,465,372.00
Nimejaribu kufomart cell,customs,text, sijui general lakini wapi
Cc: Njuka II Ethos Tutor B
Futa kwanza hizo nukta Kwa njia ya replace. Najua utabaki mkato, fine, futa mkato Kwa njia hiyo hiyo ya replace Kwa kubadilishana na nukta. Kisha maliza kazi Kwa kutumia comma style separator format.
Enjoy yourself.
 
Mkuu kumbuka ni column ziko tano ,alafu ni amount ambazo zigine zipo kwenye mamia,zingine makumi,zingine maelf. Nifafanulie vizuri nikuelewe mkuu
 
Hiyo acount ya telegram mbona haipo active au kuna nyingine
 
Mkuu kumbuka ni column ziko tano ,alafu ni amount ambazo zigine zipo kwenye mamia,zingine makumi,zingine maelf. Nifafanulie vizuri nikuelewe mkuu
Haijalishi columns ziko ngapi. Linawezekana kabisa Kwa jinsi ulivyoelezea.
 
Mkuu kumbuka ni column ziko tano ,alafu ni amount ambazo zigine zipo kwenye mamia,zingine makumi,zingine maelf. Nifafanulie vizuri nikuelewe mkuu
Nitakuelekeza baadaye nikitoka ktk majukumu yangu. Sababu Lazima niwe na kompyuta Ili unielewe vizuri.
 
Mkuu nimeselect column nikafanya Ctrl +F, nika find na ku replace all lakini ika replace kwenye cell moja na cell zingine zikabaki kama zilivo, nimejaribu kwenye options bado nimekwama
 
Fuata steps hizi:
1. Highlights columns zote kuanzia Juu kwenda chini.
2. Nenda sehemu imeandikwa "find & select, Click hapo.
3. Click palipoandikwa " replace". Dialog box itafunguka.
4. Weka alama ya mkato (,) katika kibox kilichoandikwa "find what".
5. Kibox kilichoandikwa "replace with" usiweke kitu-yaani usiandike chochote kile.
6. Bonyeza sehemu palipoandikwa "Replace All". Utaona alama ya mkato imetoka/imefutwa sehemu zote katika amount zako.
7. Bonyeza "close" dialog box.
8. Wakati columns zikiwa Bado highlighted, nenda sehemu ya riboni. Angalia sehemu imeandikwa "Number" ambapo utapata feature ya Dola ($), percent (%), mkato (,) na alama za tumshale ([emoji3594]) ([emoji3591]) kuonyesha viwango vya desimali.
9. Bonyeza alama ya mkato (,) ili kutenganisha namba katika maelfu-"thousands separator".
10. Umemaliza kazi. Kama Bado Kuna shida utafunguka.
 
Bado ni kashehe mkuu
 
Attachments

  • Screenshot 2022-10-14 151555.jpg
    Screenshot 2022-10-14 151555.jpg
    131.4 KB · Views: 48
Bahati mbaya mkuu nimeshatoka ofisini....
Poa! hata kesho utaituma screenshot Ili niangalie hizo figures zimekaaje. Maana Kwa jinsi ulivyoelezea mwanzoni na kutoa mfano ilikuwa ni kitu rahisi sana.
 
Back
Top Bottom