Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Hapo itabidi utumie conditional formatting otherwise njia rahisi ni kutumia application inaitwa Microsoft Project. Kama hauna Microsoft project, unaweza ukaforce kwa Ms Excel
Natumia Microsoft 365 na wps kwa simu hazina conditional formatting. Ni app gan ya simu inaweza kuwa nayo?
 
Wakuu naomba kuuliza app excel kwenye computer na kwenye simu zinafanana kila kitu ? Au kuna moja ina vitu vingi zaidi ? Na ipi ni best zaidi mfano kama nina tablet ?
 
Natumia Microsoft 365 na wps kwa simu hazina conditional formatting. Ni app gan ya simu inaweza kuwa nayo?
Jaribu Google sheet japo sina uhakika kama ina hiyo feature, mimi Ms Excel huwa natumia PC tu
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Wakuu naomba kuuliza app excel kwenye computer na kwenye simu zinafanana kila kitu ? Au kuna moja ina vitu vingi zaidi ? Na ipi ni best zaidi mfano kama nina tablet ?
App na program zinatofautiana kwa kiasi kikubwa, hii za kwenye simu ni application (app) na hii ya kwenye pc ni program. Kuna baadhi ya features zilizopo kwenye program huwezi kuzikuta kwenye app so kuitumia kwenye pc ni better zaidi kuliko kutumia kwenye simu
 
Software ya mwaka gani nzuri ya microsoft office nzuri niipakue
 
Habari wakuu. Naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya kulipia DRPU MULT SMS SOFTWARE anielekeze. Nasikia ni program nzuri ya kutuma meseji nyingi kwa wakati mmoja.
 
Njuka II

Msaada tafadhali hili faili nikitaka kulifanyia kazi linagoma, yaani siwezi kutaype iwe ni text au number hatakama NumLock ikiwa on.

Na hapo juu naona Product Activation failed.

Msaada mkuu
20230318_095757.jpg
 
Mimi nahitaji kufaham namna ya kufunga hesabu ni mfanya biashara wa miamala.
 
Njuka II

Msaada tafadhali hili faili nikitaka kulifanyia kazi linagoma, yaani siwezi kutaype iwe ni text au number hatakama NumLock ikiwa on.

Na hapo juu naona Product Activation failed.

Msaada mkuuView attachment 2556142
Aliyelitengeneza hili file itakuwa ameliprotect, hiyo Activation failed haina shida (unaweza ukatumia Excel hata kama hujaifanyia activation)
 
Mkuu nimeingia kwenye website yao. Wananiletea mfumo wa malipo kama vile nafanya order online ya kitu ili kitumwe.
Je, ndivyo jinsi ulivyo utaratibu wao?
View attachment 2553828
Wasiliana na owner wa software kabla hujalipia, mimi nilidownload Bulk sms software, nikawasiliana na owner wa hiyo software akaniuliza nipo nchi gani, nilipomjibu kwamba nipo Tanzania akasema software yake inatumika huko huko kwao India, nikaquit zoezi la malipo
 
Aliyelitengeneza hili file itakuwa ameliprotect, hiyo Activation failed haina shida (unaweza ukatumia Excel hata kama hujaifanyia activation)
Ishu ni kwamba siwezi kutype chochote kwenye hilo file mkuu, na ni kwamba hamna protection imefanyika sababu mimi ndo nilicreate...alafu zaidi ni kwamba nikienda kwenye file naona option haifunction_ yaani ime-shade
 
Jaribu kucreate new file ili uone inatokeaje, itakusaidia kujua kama shida ipo kwenye file au program yenyewe
 
Wasiliana na owner wa software kabla hujalipia, mimi nilidownload Bulk sms software, nikawasiliana na owner wa hiyo software akaniuliza nipo nchi gani, nilipomjibu kwamba nipo Tanzania akasema software yake inatumika huko huko kwao India, nikaquit zoezi la malipo
Mkuu kwa hiyo unanishauri nitumie program/application gani ili niweze kutuma meseji nyingi kutoka kwenye excel file?
 
Back
Top Bottom