Natumia Microsoft 365 na wps kwa simu hazina conditional formatting. Ni app gan ya simu inaweza kuwa nayo?Hapo itabidi utumie conditional formatting otherwise njia rahisi ni kutumia application inaitwa Microsoft Project. Kama hauna Microsoft project, unaweza ukaforce kwa Ms Excel
Jaribu Google sheet japo sina uhakika kama ina hiyo feature, mimi Ms Excel huwa natumia PC tuNatumia Microsoft 365 na wps kwa simu hazina conditional formatting. Ni app gan ya simu inaweza kuwa nayo?
App na program zinatofautiana kwa kiasi kikubwa, hii za kwenye simu ni application (app) na hii ya kwenye pc ni program. Kuna baadhi ya features zilizopo kwenye program huwezi kuzikuta kwenye app so kuitumia kwenye pc ni better zaidi kuliko kutumia kwenye simuWakuu naomba kuuliza app excel kwenye computer na kwenye simu zinafanana kila kitu ? Au kuna moja ina vitu vingi zaidi ? Na ipi ni best zaidi mfano kama nina tablet ?
Tafuta latest version, Microsoft office 2021...kama mfuko uko vizuri nunua Microsoft 365Software ya mwaka gani nzuri ya microsoft office nzuri niipakue
Ingia website yao kuna maelekezoHabari wakuu. Naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya kulipia DRPU MULT SMS SOFTWARE anielekeze. Nasikia ni program nzuri ya kutuma meseji nyingi kwa wakati mmoja.
Mkuu nimeingia kwenye website yao. Wananiletea mfumo wa malipo kama vile nafanya order online ya kitu ili kitumwe.Ingia website yao kuna maelekezo
Ndio hivyo unalipa online kwa MasterCardMkuu nimeingia kwenye website yao. Wananiletea mfumo wa malipo kama vile nafanya order online ya kitu ili kitumwe.
Je, ndivyo jinsi ulivyo utaratibu wao?
View attachment 2553828
Aliyelitengeneza hili file itakuwa ameliprotect, hiyo Activation failed haina shida (unaweza ukatumia Excel hata kama hujaifanyia activation)Njuka II
Msaada tafadhali hili faili nikitaka kulifanyia kazi linagoma, yaani siwezi kutaype iwe ni text au number hatakama NumLock ikiwa on.
Na hapo juu naona Product Activation failed.
Msaada mkuuView attachment 2556142
Wasiliana na owner wa software kabla hujalipia, mimi nilidownload Bulk sms software, nikawasiliana na owner wa hiyo software akaniuliza nipo nchi gani, nilipomjibu kwamba nipo Tanzania akasema software yake inatumika huko huko kwao India, nikaquit zoezi la malipoMkuu nimeingia kwenye website yao. Wananiletea mfumo wa malipo kama vile nafanya order online ya kitu ili kitumwe.
Je, ndivyo jinsi ulivyo utaratibu wao?
View attachment 2553828
Ishu ni kwamba siwezi kutype chochote kwenye hilo file mkuu, na ni kwamba hamna protection imefanyika sababu mimi ndo nilicreate...alafu zaidi ni kwamba nikienda kwenye file naona option haifunction_ yaani ime-shadeAliyelitengeneza hili file itakuwa ameliprotect, hiyo Activation failed haina shida (unaweza ukatumia Excel hata kama hujaifanyia activation)
Jaribu kucreate new file ili uone inatokeaje, itakusaidia kujua kama shida ipo kwenye file au program yenyeweIshu ni kwamba siwezi kutype chochote kwenye hilo file mkuu, na ni kwamba hamna protection imefanyika sababu mimi ndo nilicreate...alafu zaidi ni kwamba nikienda kwenye file naona option haifunction_ yaani ime-shade
Mkuu kwa hiyo unanishauri nitumie program/application gani ili niweze kutuma meseji nyingi kutoka kwenye excel file?Wasiliana na owner wa software kabla hujalipia, mimi nilidownload Bulk sms software, nikawasiliana na owner wa hiyo software akaniuliza nipo nchi gani, nilipomjibu kwamba nipo Tanzania akasema software yake inatumika huko huko kwao India, nikaquit zoezi la malipo
Activation key [emoji359][emoji359][emoji359]Jaribu kucreate new file ili uone inatokeaje, itakusaidia kujua kama shida ipo kwenye file au program yenyewe
Activation sio issue, mi natumia ambayo haijawa activated karibu mwaka sasa na haijawahi kunisumbuaActivation key [emoji359][emoji359][emoji359]