Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Yes Mkuu SladeW. Kwa watu wanaotumia Chromebooks au MacBook wanatumia Google Sheet ni sawa na Excel. Zote tunaziweka kwenye kundi moja la SpreadSheets
Noted Bruh!! Nshaishusha Hapa
 
Nawezaje kuandika namba kwenye column moja zijiadd automatically. Mimi kuna mahesabu ya pesa nafanya huku nahitaji msaada wenu.
 
Naomba kujulishwa jinsi ya kuandaa matokeo ya mtihani, jinsi ya kuwapanga wa mwanzo hadi mwisho kwa kuzingatia column ya JUMLA bila kuathiri mpangilio wa alama za masomo kwa kila somo.
Asante Kwa Swali Lako na samahani Kwa kuchelewa kukujibu..

Hapo tutatumia function ya RANK na Sio SORTING kama mdau mmoja alivyoelekeza..

Unaandika =RANK(C3,C3:C12,1)

Formula hiyo iweke Kwenye Column mwanzo ili uweze ku Drag mpaka mwisho...

Lakini kumbuka C3 ni namba unayotaka ipewe nafasi yake

C3:C12 ndio range ambao Unataka itumike na hiyo moja ya mwisho ni kwamba ianze kuhesabu namba kuanzia 1 na Sio 0,1,2....

Pia hakikisha una ongezea Alama ya $ Kwenye kila herufi ya range yako ili unapodrag isibadilishe maana..

Kwahiyo itakuwa =RANK(C4,$C$3:$C$12,1)
6624a57f67624937780f2000b43dc54f.jpg
 
Naomba kujulishwa jinsi ya kuandaa matokeo ya mtihani, jinsi ya kuwapanga wa mwanzo hadi mwisho kwa kuzingatia column ya JUMLA bila kuathiri mpangilio wa alama za masomo kwa kila somo.

Highlight column husika, then nenda kwenye data sort chagua Z to A
 
Highlight column husika, then nenda kwenye data sort chagua Z to A
Hapana mkuu.. hapo atakuwa amevuruga mpangilio... Anachotaka ni kumpanga mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho .. hapo anatakiwa atumie RANK function kama nilivyoeleza hapo juu..

Asante kwa upendo wako na kujaribu kutoa mawazo
 
Asante Kwa Swali Lako na samahani Kwa kuchelewa kukujibu..

Hapo tutatumia function ya RANK na Sio SORTING kama mdau mmoja alivoelekeza..

Unaandika =RANK(C3,C3:C12,1)

Mkuu hii ni more advanced kwa beginners. Ndio maana nikampa ile ya sorting.
 
Hapana mkuu.. hapo atakuwa amevuruga mpangilio... Anachotaka ni kumpanga mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho .. hapo anatakiwa atumie RANK function kama nilivo eleza hapo juu..

Asante kwa upendo wako na kujaribu kutoa mawazo

Sawa mkuu RANK ndio mpango wenyewe. Kuna baadhi ya jamaa zangu nikiwafundisha wanaona ngumu kutumia. Hivyo nikajibu kwa experience. Ila mada ni nzuri mkuu tuendelee kuchangia.
 
Nawezaje kuandika namba kwenye column moja zijiadd automatically. Mimi kuna mahesabu ya pesa nafanya huku nahitaji msaada wenu.
Asante kwa Swali lako zuri..

Andika =SUM( A1:A100) hapo ni kama namba zako zinaanzia A1 hadi A100... hiyo formula iandike sehemu ambayo unataka TOTAL IWE INAONEKANA.. Kadiri utakavyokuwa unaziongeza namba na Idadi itabadilika NAGALIA picha hapa chini na kama utakuwa na swali zaidi karibu

Ukiangalia kwenye formula nime include hadi cells amabzo hazina data ila unapoongeza jumla yake itaonekana kule juu ndio maana nimeandika hadi C80 Hivyo unaweza weka hata C1000 kama data zako ni nyingi

ba1fb404d09f47de2300c63625531a5d.jpg
 
Ziweke alama column ya kwanza kwa majina yote, highlight majina yote na marks zake, light click then select Sort A-Z, ngoma itakupangia flesh

Hiyo unayosema itampangia in reverse order. Hapo kwenye sort andika Z-A.
 
Ni sawa ila umempa rahisi ambayo haiendani na mahitaji yake
 
  • Thanks
Reactions: mij
Sawa mkuu RANK ndio mpango wenyewe. Kuna baadhi ya jamaa zangu nikiwafundisha wanaona ngumu kutumia. Hivyo nikajibu kwa experience. Ila mada ni nzuri mkuu tuendelee kuchangia.
Endelea kuchangia
 
Back
Top Bottom