Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

64842833c927b87ece70729beea530ff.jpg
 
Hii ni moja ya kazi iliyofanywa na mdau mmoja Kwa kutumia vlookup.. Safi sana mkuu... Muda mwingine uweke hapa kabisa kuwatia moyo wengine

c6048b2f1fbfef1611f61972acfefe66.jpg
 
Nahtaji kujifunza kutengeneza sheet kama hizi mkuu tupe darasa
1479991800049.jpg
 
Nahtaji kujifunza kutengeneza sheet kama hizi mkuu tupe darasaView attachment 438945
Inawezekana... Kabla ya kutengeneza Sheet yeyote au dashboard lazima uwe na unakielewa unachokifanya...

Swali langu kwako.. Hiyo sheets lengo lake ni kuonesha nini?? Katika Field gani?
 
Ipo sahihi kabisa mkuu... Hebu Ingia play store andika Google Sheets au Microsoft Excel halafu pakua utumie moja kati ya hizo au tumia computer kabisa....
Mkuu natumia tab kwa.sasa sina pc na kuhusu kupakua microsoft ni ngumu tab yangu ipo android 4.1 na microsoft ni inatka 4.4 na google sheet naona ni iko kawaida sana kwa hii ifficesuite pro ya kulipia maan katika apps za word hii ni kiboko yao hizo nyingine nimetumia ni unsatisfactory baadhi ya vipengere mkuu
 
Mkuu kwenye telegram ungeweka interaction pia ingekuwa poa sana
Ni wazo zuri... Nimeiweka hivo ili kuepusha usumbufu mkuu na ili ukitaka kufuatilia vitu vyote upate kirahisi...

Ndio maana sijaifungua group la whatsup...
 
Mkuu natumia tab kwa.sasa sina pc na kuhusu kupakua microsoft ni ngumu tab yangu ipo android 4.1 na microsoft ni inatka 4.4 na google sheet naona ni iko kawaida sana kwa hii ifficesuite pro ya kulipia maan katika apps za word hii ni kiboko yao hizo nyingine nimetumia ni unsatisfactory baadhi ya vipengere mkuu
Nimekupata boss... Basi hakikisha unakuwa makini na typing, au spaces wakati unaweka formula/function
 
Tumia TEXT function. Mfano kama namba yako ni 12345 na ipo cell A1 na unataka ianze na 00 ili isomeke 0012345, badi andika =TEXT(A1,"0000000"). Unaweza weka space kati ya namba pia...
Hili zoez mimi linashinda, hizo naziandika wapi, au kuna cha kufanya kwanza ili computer iwe inaaccept formula
 
Hili zoez mimi linashinda, hizo naziandika wapi, au kuna cha kufanya kwanza ili computer iwe inaaccept formula
Mkuu angalia mwanzoni Kuna sehemu nimejibu vizuri kabisa na picha nimeweka
 
Mkuu Ethos ninashukuru sana kwa hii thread imenifunza mengi ila nina swali nataka kuuliza nina Data zangu za nataka nifanye average but ziko inform of fraction ila nataka nifanye average ya numerator na denominator naomba msaada wako
 
Karibu boss..

Kama nimekuelewa vizuri unaweza tengeneza row au column na kuzipa jina DENOMINATOR na NUMERATOR halafu tumia =AV(D1😀10)

Yaani D1😀10 ndio kama range yako

Kama ulimaanisha vingine naomba kujua... Pia picha kidogo nione huo mpangalio wa data zako Kwa sasa..
 
Sijajua kama nimeingiza kwa format inayotakiwa ila hiyo ni sample y BP nataka nijue average ya hiyo numerator na average ya denominator
 
Attachments

  • excel.png
    excel.png
    73.6 KB · Views: 107
Sijajua kama nimeingiza kwa format inayotakiwa ila hiyo ni sample y BP nataka nijue average ya hiyo numerator na average ya denominator
Asante ila hiyo image haonekani vizuri.. Hebu piga picha na simu ili nione vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom