Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ni kazi nzuri na hapo inaonesha umeielewa VLOOKUP kisawasawa!! Congrats!!
Ila changamoto ipo hapa.. Je kama mtu kupata D ni aliye na marks kuanzia 0-30 na wapo zaidi ya kumi Kwenye list?[/QUO
Wote watapata D mkuu subiri nikuoneshe mfano unakuaje
Hapo juu mkuu nimeweka pichaHebu nioneshe
Mkuu labda ungefafanua kuhusu hzo maana za A1 na nyinginezo ili zitupe mwangaza namna zinavyokuwa na kwa nn unazitumia![]()
Hakikisha umeandika formula pale ambapo Unataka Jumla itokee... Andika kama inavoonekana Kwenye picha halafu bonyeza enter..
Rudia mara mbili Tatu utazoea.. Usisahau kuingia Kwenye Telegram nitakuwa naweka video fupi ili ieleweke vizuri
Mkuu mi naomba msaada mmoja hivi. Je nifanye nini au nitumie formula gani kwenye jedwali la majumuisho?Hebu nioneshe
Poa mkuu... usikate tamaa.. Ushawahi kutumia Excel hata kidogo tu kwanza ili nijue nakuelekezaje ?Mkuu labda ungefafanua kuhusu hzo maana za A1 na nyinginezo ili zitupe mwangaza namna zinavyokuwa na kwa nn unazitumia
Maana kama sio kuhic kizunguzungu ni kijapanjapan
Natanguliza shukrani
Ukitumia Function ya Rank ni lazima ukibadilisha na nafasi yake itabadilika... Ila hakikisha ile jumla umeipata kwa kutumia Function ya SUM na sio manuallyMkuu mi naomba msaada mmoja hivi. Je nifanye nini au nitumie formula gani kwenye jedwali la majumuisho?
Iko hivi:
Kwenye jedwali la matokeo,mfano mwanafunzi amekosewa marks badala ya 78 kumbe ana 88 kwahiyo ukimbadilishia,total yake itabadilika lakini nifanyaje ili apande automatically kwenye position?
Nadhani umenielewa mkuu
Nina microsoft office nmeiweka kwenye pc yangu but excell cjui kabisa kutumia huwa naiona tu natumia word mara nying kuandaa data zangu nataka niwe mkali kwenye excell ndo maana nilipo ona huu uzi nimefurahi sanaPoa mkuu... usikate tamaa.. Ushawahi kutumia Excel hata kidogo tu kwanza ili nijue nakuelekezaje ?
Nina microsoft office nmeiweka kwenye pc yangu but excell cjui kabisa kutumia huwa naiona tu natumia word mara nying kuandaa data zangu nataka niwe mkali kwenye excell ndo maana nilipo ona huu uzi nimefurahi sana
Nimeshajiunga zamaaaaaaankaribu endelea kufuatilia na hakikisha upo kwenye group
Hakuna sehemu ya comments ili kuondoa usumbufu Kwa watu wengine... Kama unaswali weka hapa au ni PMNimejiunga kwenye group la Telegram..ila naona kama halipo sawa maana nashindwa hata kuyoa comments..so na mimi nilikuwa naiona tu exell..ila kwa sasa nataka kujifunza sana toka mwanzo....nahis kama hatua za mwanzo zimenipita naomba msaada kiukwel
Mkuu ubarikiwe sana kwa hii elimu nimefanikiwa kwa urahisi sana niliwaza kutenganisha ingenichukua more than 2 weeks but nimeifanya kwa dk chache ila kuna suala kama zipo nying umedrag kama umeweka pale mwanzo uliweka 2 digit ikakutana na 3 digit utapata tofaut so inabidi urekebishe kwanzaNimekuelewa mkuu... kuna njia mbili ngoja kwa leo nianze na rahisi halafu hiyo complex kidogo nitaielezea separately katika video zangu za kila siku...
hapo tuseme mfano 255/78 ipo katika Cell C3 inabidi uunde column nyingine mpya mbili na zipe majina ya denominator na numerator halafu kwenye Numerator column andika =LEFT(C3,3) Ikiwa na maana ikuchukulie namba tatu kutoka kushoto mwa C3 ambayo ni 255 na kupata Denominator andika =RIGHT(C3,2) ikiwa na maana ikuchukulie namba 2 kutoka kulia mwa C3 halafu uta drag kama namba zinazofuata chini zipo katika mfumo huo huo yaani digit3/digit2 kama zitabadilika rekebisha function yako respectively na endelea hadi mwisho...
Mwishoni tafuta jumla ya Denominator na numerator kama kawaida kwa kutumia =SUM(Range)
Angalizo>>> kuwa makini wakati wa ku drag kama kuna change ya format ya namba ya chini
kwa leo niishie hapo... let me know if you tried this kabla sijaja na the more complex one
simple pics below
![]()
namaanisha kwa mfano kwenye kila cell ndani ya column ina neno lenye herufi tano, kila herufi ya nne kwenye hilo neno ni S au H. Sasa nataka kusoti ambazo herufi yake ya nne ni S zikae pamoja na zile ambazo ni H zikae pamoja. Tunafanyajemkuu asante kwa swali lako ila naona kama sijakuelewa vizuri ...hebu elezea kwa kirefu kidogo