Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Mkuu mambo vipi, swali langu ni kama ifuatavyo;

Nina watu 100 ambao ni casual labours, wanafanya site mbali mbali za ujenzi, na kila site ina bei yake ninayowalipa kwa kila atakaefanya kazi site husika

Sasa unakuta mtu mmoja kafanya kazi zaidi ya site tatu au nne naandaa sheet ambayo inakuwa na column zifuatazo /SN/NAME/DESCRIPTION/DAY/AMOUNT/NSSF/NET PAY

Sasa nataka formula ambayo kama mtu katokea zaidi ya site tatu au nne nikisha sort wakajipanga alphabetical, naiweka hiyo formula ambayo ina add amount zote za saiti alizofanya automatically. Msaada tafadhali
Nadhani pia njia nyingine unaweza kuwa na database(sheet tabs) kwa kila site then ukawa na sheet moja ambayo ni dashboard(summary),hii itachukua information kutoka kwenye kila database/sheet,hapo itakuwa rahisi kulink taarifa unazozihitaji na hata ukiupate taarifa kwenye database pia kwenye summary itajiupdate, kumbuka sheet zote zinakuwa katika workbook moja
 
Hapo ni bila kuweka drop-down list ya majina mkuu??
Whatever the case, unaweza ukaweka drop down au ukawa unatype pia..ina case kama utaweka drop down itabidi uweke dynamic formula ambapo drop down itakuwa inajiadd majina yenyewe kila unapoongeza data kwenye table
 
Nadhani pia njia nyingine unaweza kuwa na database(sheet tabs) kwa kila site then ukawa na sheet moja ambayo ni dashboard(summary),hii itachukua information kutoka kwenye kila database/sheet,hapo itakuwa rahisi kulink taarifa unazozihitaji na hata ukiupate taarifa kwenye database pia kwenye summary itajiupdate, kumbuka sheet zote zinakuwa katika workbook moja
Hapo kazi itakuwa kubwa mkuu, na hizi ni monthly records, au unaweza nipa njia rahisi zaidi..???

Kwenye hiyo hiyo sheet moja nifanyie hapo hapo nipate amount ya kila mmoja hivo ndo nataka
 
Whatever the case, unaweza ukaweka drop down au ukawa unatype pia..ina case kama utaweka drop down itabidi uweke dynamic formula ambapo drop down itakuwa inajiadd majina yenyewe kila unapoongeza data kwenye table
$A$1:$A$100=C1,$B$1:$B$100=D1, ikiwa na zile(--) nikiwa nime-insert kwenye formula , hapo C1=Name na D1=Amount

Si hivo au???
 
Wakuu na wataalamu wa Excel ,naomba kufahamishwa namna ya kupanga matokeo ya mtihani kama mfumo wa NECTA hasa pale wanapoandika DETAILED SUBJECTS. Mfano, CIV-'A' KISW-'A' HIST-'A' n.k
Nimeweka screen shot ya sample namna Baraza wanavyoweka.
Naomba msaada tafadhali.
Screenshot_20230106-054256.jpg
 
Wakuu na wataalamu wa Excel ,naomba kufahamishwa namna ya kupanga matokeo ya mtihani kama mfumo wa NECTA hasa pale wanapoandika DETAILED SUBJECTS. Mfano, CIV-'A' KISW-'A' HIST-'A' n.k
Nimeweka screen shot ya sample namna Baraza wanavyoweka.
Naomba msaada tafadhali.View attachment 2470399
Unganisha text na formula kwa kutumia alama &
Mfano
="CIV- "&IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F")))))&" KISW- "&IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F")))))&" HIST- "&IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F"))))).......
 
IF(B2>=81,"A",
.....>=81

IF(B2>=61,"B"
...... AND(>=61,<81)

Kuna range ya namba ili kuepuka kupoteza baadhi ya maksi inabidi kutambua lower na upper limits na kama zipo inclusive or otherwise.
 
IF(B2>=81,"A",
.....>=81

IF(B2>=61,"B"
...... AND(>=61,
Kuna range ya namba ili kuepuka kupoteza baadhi ya maksi inabidi kutambua lower na upper limits na kama zipo inclusive or otherwise.
Shukrani sana mkuu. Nitaifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa hapa .
 
Unganisha text na formula kwa kutumia alama &
Mfano
="CIV- "&IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F")))))&" KISW- "&IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F")))))&" HIST- "&IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F"))))).......
Pamoja sana mkuu. Nitaifanyia kazi. Nashukuru sana.
 
Hapo kazi itakuwa kubwa mkuu, na hizi ni monthly records, au unaweza nipa njia rahisi zaidi..???

Kwenye hiyo hiyo sheet moja nifanyie hapo hapo nipate amount ya kila mmoja hivo ndo nataka
Bado utahitaji kuwa na sheet au table ya summary,hizo record ni kama database,ili kupata jumla ya kila mtu ni lazima uwe na table ambayo itakuwa na majina ya casuals wote,bila kujirudia,then tumia formula aliyokupa Njuka au sumifs kupata amount ya kila casual, just simple
 
Mkuu,vipi kama akitumia SUMIFS si inaweza kuwa rahisi zaidi kwake,najua SUMPRODUCT ni kwa Gurus[emoji1]
Ndio anaweza akatumia SUMIF na ikaleta jibu moja, SUMPRODUCT ina ugumu gani kwani? Ukishajua mechanism yake haitakusumbua kwenye kuiapply
 
Yah sumproduct ni nzuri na inamaajabu sana,lkn inahitaji kuielewa mechanism yake vizuri,ndio man is for the Gurus[emoji4]
 
Mtaalam[emoji1],jaribu njia zote hizo ukiona sumproduct bado inasumbia tumia sumif mkuu
Hata Vlookup, ningeitumia ningekopi hizo headings nikaziweka vertically nikainsert formula na kupata majibu baada ya kuwasort alphabetically

Mi nilikuwa nataka general formula ya kutumia hata kama hawajawa sorted (multiple names)
 
Yah sumproduct ni nzuri na inamaajabu sana,lkn inahitaji kuielewa mechanism yake vizuri,ndio man is for the Gurus[emoji4]
Na hii ndo naitaka, hata index match ingeweza hiyo task hapo juu wakiwa arranged alphabetically
 
Back
Top Bottom