Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 338
- 397
Nadhani pia njia nyingine unaweza kuwa na database(sheet tabs) kwa kila site then ukawa na sheet moja ambayo ni dashboard(summary),hii itachukua information kutoka kwenye kila database/sheet,hapo itakuwa rahisi kulink taarifa unazozihitaji na hata ukiupate taarifa kwenye database pia kwenye summary itajiupdate, kumbuka sheet zote zinakuwa katika workbook mojaMkuu mambo vipi, swali langu ni kama ifuatavyo;
Nina watu 100 ambao ni casual labours, wanafanya site mbali mbali za ujenzi, na kila site ina bei yake ninayowalipa kwa kila atakaefanya kazi site husika
Sasa unakuta mtu mmoja kafanya kazi zaidi ya site tatu au nne naandaa sheet ambayo inakuwa na column zifuatazo /SN/NAME/DESCRIPTION/DAY/AMOUNT/NSSF/NET PAY
Sasa nataka formula ambayo kama mtu katokea zaidi ya site tatu au nne nikisha sort wakajipanga alphabetical, naiweka hiyo formula ambayo ina add amount zote za saiti alizofanya automatically. Msaada tafadhali