Tupeane mawazo wapendwa

na wasiwasi na uliyoandika umeoa au??????????????...............:sleepy:


Yeyote yule aliyeoa au olewa ambaye panapotokea tafrani, suluhu yake ni kuachana, basi fahamu fika ni Malaya na Muhuni!
 
Kumbe bado mapointi yanashuka??? Hongera...................
unajua DA kuna mambo mawili kwenye mahusiano tunayamiss timing halaf yanatucost, la kwanza hili "uvumilivu" na la pili ile tunaita "kumuamini mwenza", hauwezi kujiita ni mvumilivu kama kosa lenyewe ni la kukuharibia profile yako, jina lako sahihi litakuwa ni b w e g e, na pia hauwezi kusema unamuamini mwenza wako kiasi kwamba anarudi usiku wa manane wewe unasema simuulizi kitu kwasababu namuamini. khaaaaa! haya mapointi ninayomwaga leo naomba mnipigie debe nipewe umod.
 

Haiwezekani hata siku moja labda kwa uwezo wa roho mtakatifu peke yake......................
 
Yeyote yule aliyeoa au olewa ambaye panapotokea tafrani, suluhu yake ni kuachana, basi fahamu fika ni Malaya na Muhuni!

Mwanamke akimwacha mwanaume basi mwanamke huyo ni mhuni ilitakiwa avumilie
 

Mkeshaji usisahau pia kuwa hata kwenye ndoa ambazo wababa ndo mhimili wa famili, wamama wanavumilia mengi sana ambayo mwanamke mwenye elimu au kipato chake asingeweza kuvumilia......

Unanikumbusha aliyokuwa anasema that Nigerian Writer Chimamanda Ngozi Adichie on The Danger of a Single Story...........
Chimamanda Adichie: The danger of a single story | Video on TED.com
 


Wewe umenisemea kabisa hebu nitafute jioni......................
 
Haiwezekani hata siku moja labda kwa uwezo wa roho mtakatifu peke yake......................

na awe tayari kumpokea huyo roho mt sasa, bila hivyo utaendelea kuvumiliaga tu...
 
ni kweli huwezi badili tabia za mtu lakini ndoa na familia yoyote ili ifanikiwe kuna mambo ambayo lazima mkubaliane na kuweka mapungufu yenu pembeni sasa inapotokea mmoja anasema tu mwingine hasemi na hafanyi matatizo huanzia hapo.


 
yaani jamani v2ko vyako mie vinaniacha hoi,hahaha nimecheka kwa nguvu zote sio mzima kabisa wewe haki ya nani vile.
heheeh sweetheart, hayo mavituko yanatokea kabisa kwenye talaka za siku hizi, kuna njemba ilimwacha mke wake eti hajui kutumia remote ya plasma TV anamwaibisha kwa mafriend wake. msibishe! imetokea nyumba ya kumi tu kutoka hapa ninapoishi
 
Kipo mbona kitufe mbadala Samora Macheli

Vp mwanamke akikuzingua unamfanyaje?

Unamdunda mangumi au unamrushia vilago?

ha ha ha ha inategemea mkuu hawa viumbe mi sijawahi kuwaelewa hata siku moja..

kuna maudhi ya kusamehe na kuvumiliana ila kuna mengine kila mtu ashike zake tu, watoto watakuja kuelewa wakiwa wakubwa
 
Fidel wale wa Club Continental issue mazee wale makaa ya moto

Ni dhambi kubwa sana mwanamke kumwacha mwanaume.

Mwanamke anaachwa kama anavyo fuatwa kipindi cha kutongozana.

Mwanamke hapaswi kumwacha mwanaume kamwe bali anaachwa.
 
Si kweli.

Wanaoendekeza kuachana bila sababu za muhimu ni self-centred individuals ambao hawajui maana ya kusamehe wala hawataki kucompromise.

self-centredness - ... caring for yourself and your own needs

Umalaya - Promiscuity ...having many sexual partners in the absence of any commitment

Muhuni - Hooligan - ...malicious destruction of the property of others
 
heheeh sweetheart, hayo mavituko yanatokea kabisa kwenye talaka za siku hizi, kuna njemba ilimwacha mke wake eti hajui kutumia remote ya plasma TV anamwaibisha kwa mafriend wake. msibishe! imetokea nyumba ya kumi tu kutoka hapa ninapoishi

Kha dunia ina mambo hii jama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…