Tupeane mawazo wapendwa

Ukifikiria mara mbili mbili naona kama ni bora kubaki single hivi, nimenufaishwa na mawazo yenu wote, naona bora nibaki single tu

Ukitangaza kuwa uko "Moja" zitaanza kumiminika jumbe za faragha hadi ushindwe kujibu...lol.
 
mmh!!?????????????????????????????????????????????

majibu ya FIDEL180 na
Baba _Enock yanazidi kuniongezea siku za kuishi....lol

Inabidi umvumilie mzee mpaka yeye aamue kukuacha
 
ndio kusema? nimekwambia wametengana.

Wametengana kwa mda tu hao watarudiana tu ndo maana nakwambia sema wapo half time.

Wangekuwa wameachana hapo kurudiana ni ngumu maana kidume kinakuwa kimemwacha mwanamke na hakimtaki tena.
 

Kama unajua sheria za infii utakuwa aidha umesahau kifungo kidogo.

Nitamwambia Teamo akukumbushe tu angalau kidogo. Nyumba ndogo zinahusika sana kuimalisha nyumba kubwa.

Tatizo la nyumba kubwa ni kujisahau...hii inatokana na wakati unavyo kwenda unakuta nyumba kubwa inajisahau.

Nyumba kubwa inajisahau kujituma katika majambozi Mr. akitaka kumgeuza hataki mara ooh leo mvua imenyesha siwezi kugeuka nimechoka sana kupiga deki nyumba. Basi jamaa anaamua ajipendelee kifo cha mende kwa shingo upande. Kesho akiamuka anaenda kusuuza nyumba ndogo.
 


HA HA HA HA HA AAAAAA,
kweli FIDEL una mambo wewe, kwa hiyo mke hapaswi kudeka kwa mume??,
akilalamika kuwa kachoka sasa si ni wajibu wako kumwondolea huo uchovu??,
Kwenda nyumba ndogo huoni kama hauitendei haki NDOA yenu??,pia ni kujidhalilisha wewe mwenyewe.....
 

Lazima mtendeane Haki jamani mwenzio ana kiu wewe ndo kwanza unajifunika blanketi unataka hiyo kiu akaitoe wapi?

Sasa ndo hapa unaona umuhimu wa nyumba ndogo mzee anaamua kujitafutia kiform iii kiwe angalau kinampa massage.
 

KWA NINI USIMTAFUTIE MTU WA KUMSAIDIA KUPIGA DEKI?,
KWANINI USINUNUE VIFAA VINGINE VYA USAFI AMBAVYO VITAMFANYA ASIPINDE MGONGO WAKATI WA KUPIGA DEKI??,

KWANINI UNATAFUTA MAJIBU MAGUMU KATIKA MASWALI MEPESI???,
UAMUZI WA KWENDA NYUMBA NDOGO NI JIBU GUMU SANA HILO.....lol
 
nisome vizuri ndo maana nimemwambia kama anatekeleza aliyoandika...............!

\
Yawezekana she/he lucky,
lakin nijuavyo mimi ,
SIYO KILA MHUBIRI MZURI (na hasa wengi wa siku hizi) NDIYO MTENDA MEMA.
PIA SIYO KILA MWANASAIKOLOJIA MZURI SANA WA MAPENZI BASI NA YEYE ANA MAPENZI MAZURI KWA MPENZI WAKE.
 
 
nisome vizuri ndo maana nimemwambia kama anatekeleza aliyoandika...............!

\

Nilikuelewa vizuri chauro pia nakubaliana na maoni yako,
ila hapo nilikuwa nakazia tu juu ya kile ulichosema wewe...

Usishangae neno nakazia ndiyo maneno yetu siye tuishiyo karibu na bahari..lol
 

mkuu kuna wakati mmoja anajishusha mpaka unakuwa kama sisimizii lakin kama mwingine hayupo tayari kuiokoa hiyo ndoa haisaidii
 

Sasa mke nitakuwa nimemuoa kwa kazi ipi? Kama kumega ndo hivyo mvivu au ujiko na mm nimeoa?

Nakwambia usithubutu kumwachia kazi muhimu za nyumbani house girl akipika msosi mzuri mzee akimsifia tayari kosa.

Kama unamwachia house girl afue mpaka boxer za mzee basi huna budi kushare nae kwenye ulingo wa 6 kwa 6 si anakusaidia majukumu.
 
Mwisho wa yote ni nini? Mi naona muhimu ni kusameheana na kuanza upya. Mkiachana ndio mwanzo wa kuingia kwenye kutenda chamber.
 
 
nazani hii ndio pointi anayoimiss mpendwa, haiwezekani mimi huku home navumilia kunyimwa unyumba halaf mama chanja yeye anaonekana billicanus anaomba vocha kwa DJ. Huu ni u b w e g e sasa si uvumilivu.

True that!Mmoja anaweza kuweka juhudi kwenye kujenga mwingine kubomoa!Hapo hamtafika popote zaidi ya kuishia kuishi maisha ya kukomoana!
 
 
True that!Mmoja anaweza kuweka juhudi kwenye kujenga mwingine kubomoa!Hapo hamtafika popote zaidi ya kuishia kuishi maisha ya kukomoana!

Na kawaida mwanamke mhuni ndie anae mkomoa mme wake take it from me.

Pasaka njema naenda Usalule kupiga Mdindifu
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…