Ukifikiria mara mbili mbili naona kama ni bora kubaki single hivi, nimenufaishwa na mawazo yenu wote, naona bora nibaki single tu
Ukitangaza kuwa uko "Moja" zitaanza kumiminika jumbe za faragha hadi ushindwe kujibu...lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifikiria mara mbili mbili naona kama ni bora kubaki single hivi, nimenufaishwa na mawazo yenu wote, naona bora nibaki single tu
mmh!!?????????????????????????????????????????????
majibu ya FIDEL180 na
Baba _Enock yanazidi kuniongezea siku za kuishi....lol
ndio kusema? nimekwambia wametengana.
Yeyote atakayemwona NYUMBA KUBWA amwambie nina RB yake haraka sana naomba achangie hii thread....lol, pia nataka anipe ufafanuzi wa ile comment ya FIDEL aliyosema ,
eti nyumba kubwa inarekebishwa na nyumba ndogo,
hata sijui atasemaje katika hili.....lol.
Kama unajua sheria za infii utakuwa aidha umesahau kifungo kidogo.
Nitamwambia Teamo akukumbushe tu angalau kidogo. Nyumba ndogo zinahusika sana kuimalisha nyumba kubwa.
Tatizo la nyumba kubwa ni kujisahau...hii inatokana na wakati unavyo kwenda unakuta nyumba kubwa inajisahau.
Nyumba kubwa inajisahau kujituma katika majambozi Mr. akitaka kumgeuza hataki mara ooh leo mvua imenyesha siwezi kugeuka nimechoka sana kupiga deki nyumba. Basi jamaa anaamua ajipendelee kifo cha mende kwa shingo upande. Kesho akiamuka anaenda kusuuza nyumba ndogo.
HA HA HA HA HA AAAAAA,
kweli FIDEL una mambo wewe, kwa hiyo mke hapaswi kudeka kwa mume??,
akilalamika kuwa kachoka sasa si ni wajibu wako kumwondolea huo uchovu??,
Kwenda nyumba ndogo huoni kama hauitendei haki NDOA yenu??,pia ni kujidhalilisha wewe mwenyewe.....
Kama unajua sheria za infii utakuwa aidha umesahau kifungo kidogo.
Nitamwambia Teamo akukumbushe tu angalau kidogo. Nyumba ndogo zinahusika sana kuimalisha nyumba kubwa.
Tatizo la nyumba kubwa ni kujisahau...hii inatokana na wakati unavyo kwenda unakuta nyumba kubwa inajisahau.
Nyumba kubwa inajisahau kujituma katika majambozi Mr. akitaka kumgeuza hataki mara ooh leo mvua imenyesha siwezi kugeuka nimechoka sana kupiga deki nyumba. Basi jamaa anaamua ajipendelee kifo cha mende kwa shingo upande. Kesho akiamuka anaenda kusuuza nyumba ndogo.
Yawezekana she/he lucky,
lakin nijuavyo mimi ,
SIYO KILA MHUBIRI MZURI (na hasa wengi wa siku hizi) NDIYO MTENDA MEMA.
PIA SIYO KILA MWANASAIKOLOJIA MZURI SANA WA MAPENZI BASI NA YEYE ANA MAPENZI MAZURI KWA MPENZI WAKE.
Tatizo la nyumba kubwa ni kujisahau...hii inatokana na wakati unavyo kwenda unakuta nyumba kubwa inajisahau.
JE HUKO KUJISAHAU NI UPANDE WA MKE TU ???,
JE MUME HUWA AJISAHAU BAADA YA KUOA ??,
JE MUME ANAMFANYIA YALE YOTE ALIYOKUWA ANAMFANYIA MKE KABLA HAWAJAOANA??,
JE SIYO KWAMBA MABADILIKO YA HUYO MKE YAMECHANGIWA NA KUJISAHAU KWA MUME??.
FIDEL ,USIKIMBIE JIBU HAYO, tafadhali.
nisome vizuri ndo maana nimemwambia kama anatekeleza aliyoandika...............!
\
Maty NDOA kama NDOA sio ngumu ila sisi binadamu ndio tunaifanya ionekane ngumu, NDOA ni jambo takatifu lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu kuachana sio solution tatizo tumekosa uvumilivu mama anajifanya mjuaji baba naye anajifanya mjuaji kila mtu ndani ya nyumba anajifanya ana kibesi kuliko mwenzake,wengine walioana ili mradi tu kwa vile fulani kaoa, nakumbuka siku moja padri kanisani aliuliza "Ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake anyooshe mkono juu" nakumbuka kati ya watu wote waliokuwa kanisani walionyoosha mikono juu walikuwa watano tu.
KWA NINI USIMTAFUTIE MTU WA KUMSAIDIA KUPIGA DEKI?,
KWANINI USINUNUE VIFAA VINGINE VYA USAFI AMBAVYO VITAMFANYA ASIPINDE MGONGO WAKATI WA KUPIGA DEKI??,
KWANINI UNATAFUTA MAJIBU MAGUMU KATIKA MASWALI MEPESI???,
UAMUZI WA KWENDA NYUMBA NDOGO NI JIBU GUMU SANA HILO.....lol
Tatizo la nyumba kubwa ni kujisahau...hii inatokana na wakati unavyo kwenda unakuta nyumba kubwa inajisahau.
JE HUKO KUJISAHAU NI UPANDE WA MKE TU ???,
JE MUME HUWA AJISAHAU BAADA YA KUOA ??,
JE MUME ANAMFANYIA YALE YOTE ALIYOKUWA ANAMFANYIA MKE KABLA HAWAJAOANA??,
JE SIYO KWAMBA MABADILIKO YA HUYO MKE YAMECHANGIWA NA KUJISAHAU KWA MUME??.
FIDEL ,USIKIMBIE JIBU HAYO, tafadhali.
Yeah mwanamke akisha olewa najisahau sana wkt wa kuchimbiana mlikuwa mnabinuka mpaka sarakasi akitua ndani anaacha.
Mme anajua majukumu yake haswa ndani ya ndoa kuliko mwanamke.
Yeah mara nyingi mme anamfanyia mwanamke yale ya zamani huwa anasema kukumbushia.
Mara nyingi mwanamke huwa anaota sana kuolewa ili atimize wajibu kuwa nae kaolewa. Akisha olewa anajisahau.
nazani hii ndio pointi anayoimiss mpendwa, haiwezekani mimi huku home navumilia kunyimwa unyumba halaf mama chanja yeye anaonekana billicanus anaomba vocha kwa DJ. Huu ni u b w e g e sasa si uvumilivu.
Yeah mwanamke akisha olewa najisahau sana wkt wa kuchimbiana mlikuwa mnabinuka mpaka sarakasi akitua ndani anaacha.
Mme anajua majukumu yake haswa ndani ya ndoa kuliko mwanamke.
Yeah mara nyingi mme anamfanyia mwanamke yale ya zamani huwa anasema kukumbushia.
Mara nyingi mwanamke huwa anaota sana kuolewa ili atimize wajibu kuwa nae kaolewa. Akisha olewa anajisahau.
HAPO KWENYE RED NINA KIGUGUMIZI KIZITO KUKUBALIANA NA WEWE 100%.
ILA MIMI NAJUA KILA MABADILIKO YANA CHANZO CHAKE.....
NA KUJISAHAU KWA MWANAMKE KAMA UNAVYOSEMA WEWE KUNA CHANZO CHAKE KATIKA NDOA.......
True that!Mmoja anaweza kuweka juhudi kwenye kujenga mwingine kubomoa!Hapo hamtafika popote zaidi ya kuishia kuishi maisha ya kukomoana!
HAPO KWENYE RED NINA KIGUGUMIZI KIZITO KUKUBALIANA NA WEWE 100%.
ILA MIMI NAJUA KILA MABADILIKO YANA CHANZO CHAKE.....
NA KUJISAHAU KWA MWANAMKE KAMA UNAVYOSEMA WEWE KUNA CHANZO CHAKE KATIKA NDOA.......
Nani kichwa cha familia?
Mme anasugua kichwa mwanamke na watoto watapishana vp chooni?
Bila yeye watoto trip za chooni zinapungua kwa siku mara moja.
Unasema watu wanaoachana hua hawafikirii watoto?Kuna wavumiliaji ambao hua wanajifanya wanabaki kwaajili ya watoto ila watoto ndo wanaoishia kuteseka!Si kila mtu anafaa kua mzazi mpaka useme lazima wawepo wote ili mtoto afurahie..kuna wengine mmoja anaweza kuwapa hao watoto mapenzi zaidi ya wanayoweza kupewa na wazazi wawili.Kama hujui mara nyingi watu hua wanamalizia frastruatian zao kwa watoto!We unaposema unavumilia mwanaume anaona unamng'ang'ania!Kama hutakiwi ondoka..au kaa subiria Ukimwi!
Wewe umeona mvumilivu ni mwanamke tu.... ikiwa na maana matatizo yanaletwa na wanaume kwenye ndoa? Nadhani wote mme na mke wanawajibika katika kulinda na kuitunza ndoa yao. Yawezekana ni mwanaume au mwanamke anaweaz kuwa chanzo cha matatizo mpaka wakaamua kutengana.