mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,212
Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.
wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.
N.B mimi ni mtumishi wa halmashauri ya buhigwe natafuta unafuu wa kiuchumi
Kuna kahawa ya asili unaweza kulima hata mikoa ya pwani inatokana na mkunde pori, kahawa yake ni tamu, haina madhara kama ya kahawa ya Kawaida, ni dawa, inakuacha na nguvu mwilini kwa masaa mengi, miezi kadhaa tu unavuna, inastahimili sana ukame, haihitaji mbolea wakati wa kuilimaLima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.
Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna.
Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
Mbinu nyingine rahisi ni kupunguza matumizi yako na kuishi chini ya kipato chako (living below your means), ni kuishi ukihitaji vitu vichache sana (minimalist life)wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.
wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.
N.B mimi ni mtumishi wa halmashauri ya buhigwe natafuta unafuu wa kiuchumi
asante mkuu,vp soko lake ?Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.
Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna.
Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
naongea kulingana na experiences chiefMbinu nyingine rahisi ni kupunguza matumizi yako na kuishi chini ya kipato chako (living below your means), ni kuishi ukihitaji vitu vichache sana (minimalist life)
Tafuta kitabu kinaitwa THE SUBTLE ART OF NOT GIVING A FUC*K kisome au tafuta summary yake online
Watu wengi hudhani wanahitaji mshahara zaidi au pesa zaidi, kumbe wanachotakiwa kufanya ni kuondoa zaidi ya nusu ya yale wanayodhani wanayahitaji
Ndio hali ilivyo.Enzi hizo nilikuwa nafikiri ukishapata kazi serikalini umetoboa. Kumbe kuna walioko humo wanatamani kuchomoka?
Kila la kheri mkuunaongea kulingana na experiences chief
AC za makazini sio Poa.😃juaa la kitaa sio poah
noted mkuu• Kilimo cha chai - iringa, tukuyu,
• Zao la katani- tanga, morogoro
• Zao la tangawizi - kigoma-kasulu
mfukoni njaa kali mkuuAC za makazini sio Poa.😃
ndio afsa tunaweza pata abc hapaNaweka kambi hapa.. naona mapendekezo ni kilimo tu
mambo kwa inside sio mchezoEnzi hizo nilikuwa nafikiri ukishapata kazi serikalini umetoboa. Kumbe kuna walioko humo wanatamani kuchomoka?
asante chiefTafuta eneo zuri kwanzia heka 10
Lima mazao/matunda yafuatayo
Nazi-hizi chukua mbegu ya kienyeji mche mmoja 5000-10000.
Michungwa-miche 1500-2500
Malimao-1500-2500
Ndimu- 1500-2500
Maembe dodo-2000-3000
Haya ni moja ya mazao/matunda ambayo hayahitaji sana usimamizi ya karibu,pia ukipata mtu mzuri na kutunza shamba huu ni uwekezaji mzuri kwa manufaa ya baadae.
Nakutakia kila la kheri chief.