Kiongozi shukran sana,kama umeingia kichwani kwangu, Nina heka zinakaribia 40 zimebaki ukitoa nilizopanda korosho nataka nianze mchakato wa kupanda minazi, unajua kiongozi uwekezaji ni vita,ufe au upone ila watu wengi wanachukulia simple sana, angalizo kama mtu una roho nyepesi ya kutaka matokeo mapema usijiingize kuwekeza kwenye mazao ya kudumu ya muda mrefu, ni Bora ukajihusisha na mazao ya muda mfupi,kama vile,nyanya,ufuta,mpunga,maharage,n,k
Sent from my TECNO CC7 using
JamiiForums mobile app