Nauza miche ya matunda mbalimbali karibu mkuu..Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.
Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.
N.B Mimi ni mtumishi wa halmashauri ya Buhigwe natafuta unafuu wa kiuchumi
Nasikia mwaka huu bei ni 1000-2030?Korosho kwa sasa ni pasua kichwa! sisi tuliopo kwenye korosho tumekimbilia kwenye ufuta! na wengine wamefyeka mikorosho yote wamepanda miembe.
Kabisa kwa upande wa ajira pamekuwa pagumu sana pia biashara nazo azieleweki.Inapidi ufanye comparison as opposed to who ? Serikalini kuna Security mtu akiishi within his means na hata akizeeka atakuwa pensionable sasa linganisha na mbangaizaji machinga kitaa ambaye anaamka asubuhi hajui kama atapata pesa za kula jioni na siku nguvu zikikata hana hata pension ya kununua panadol....
In short hali sio shwari na it's gonna get worse.... Serikalini kukosekana ajira zenye ujira zimeondoa kabisa middle income (na hawa katika jamii yenye ustawi inabidi wawe wengi)
Kahawa hata huko huko Buhigwe alipo zinastawi vizuri sana na huenda ikamtoa kama atazingatia mbinu bora za kilimo.Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.
Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna.
Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
manyovu ni moro mkuu?Nenda maeneo ya manyovu ( Munanila, mwayaya, nyakimue na muhinda) tafuta shamba si chini ya hekari 3 - 5 Lima ndizi na kahawa baada ya Miaka 3/2 utakuja kunishukuru
MUNGU akusaidie upate ajira,then uje u comment hapa !Acheni utani AC,zote hizo halafu kuwe na njaa si kweli,Huku nje jamani jua Kali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
noted chiefKama hali ya hewa inaruhusu. Lima zao la mchikichi. Uzalishe mafuta ya mawese na mafuta ya mise. Tafuta mbegu ya kisasa
NB: uwe na ardhi kubwa, mbegu nzuri za mchikichi wanauza watafiti wa TARI.noted chief
Hapo ndipo tunapo feli wakulima,na ufuta ukidondoka bei na korosho bei ukawa nzuri utaanza tena kupanda mikorosho uliyoikata?ukiambiwa zao la kudumu ni uwekezaji,kabla ya kuanza inatakiwa ukae chini ufikiri kwa mapana yake,changamoto ambazo ikitokea ukakutana nazo utafanya Nini?kama hiyo ya kuporomoka kwa bei,pia lazima ujue Kila penye changamoto fursa ipo nyuma yake imejificha,Mimi pia imenigusa KWENYE korosho kwa mwaka huu,ila sijakata tamaa au kukata mikorosho au kukimbilia zao lingine, bali nimepata nguvu mpya ya kuwekeza zaidi KWENYE zao la korosho, sababu nimepata njia mbadala ya kuliendea zao Hilo kwa mwaka huu MWENYEEZI MUNGU akipendaKorosho kwa sasa ni pasua kichwa! sisi tuliopo kwenye korosho tumekimbilia kwenye ufuta! na wengine wamefyeka mikorosho yote wamepanda miembe.
noted chiefHapo ndipo tunapo feli wakulima,na ufuta ukidondoka bei na korosho bei ukawa nzuri utaanza tena kupanda mikorosho uliyoikata?ukiambiwa zao la kudumu ni uwekezaji,kabla ya kuanza inatakiwa ukae chini ufikiri kwa mapana yake,changamoto ambazo ikitokea ukakutana nazo utafanya Nini?kama hiyo ya kuporomoka kwa bei,pia lazima ujue Kila penye changamoto fursa ipo nyuma yake imejificha,Mimi pia imenigusa KWENYE korosho kwa mwaka huu,ila sijakata tamaa au kukata mikorosho au kukimbilia zao lingine, bali nimepata nguvu mpya ya kuwekeza zaidi KWENYE zao la korosho, sababu nimepata njia mbadala ya kuliendea zao Hilo kwa mwaka huu MWENYEEZI MUNGU akipenda
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo tunapo feli wakulima,na ufuta ukidondoka bei na korosho bei ukawa nzuri utaanza tena kupanda mikorosho uliyoikata?ukiambiwa zao la kudumu ni uwekezaji,kabla ya kuanza inatakiwa ukae chini ufikiri kwa mapana yake,changamoto ambazo ikitokea ukakutana nazo utafanya Nini?kama hiyo ya kuporomoka kwa bei,pia lazima ujue Kila penye changamoto fursa ipo nyuma yake imejificha,Mimi pia imenigusa KWENYE korosho kwa mwaka huu,ila sijakata tamaa au kukata mikorosho au kukimbilia zao lingine, bali nimepata nguvu mpya ya kuwekeza zaidi KWENYE zao la korosho, sababu nimepata njia mbadala ya kuliendea zao Hilo kwa mwaka huu MWENYEEZI MUNGU akipenda
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Kiongozi shukran sana,kama umeingia kichwani kwangu, Nina heka zinakaribia 40 zimebaki ukitoa nilizopanda korosho nataka nianze mchakato wa kupanda minazi, unajua kiongozi uwekezaji ni vita,ufe au upone ila watu wengi wanachukulia simple sana, angalizo kama mtu una roho nyepesi ya kutaka matokeo mapema usijiingize kuwekeza kwenye mazao ya kudumu ya muda mrefu, ni Bora ukajihusisha na mazao ya muda mfupi,kama vile,nyanya,ufuta,mpunga,maharage,n,kBless,sijawahi acha iamini korosho,plan ni kupanda shamba la minazi ukanda wa pwani ya mkoa wa lindi.
noted chiefKiongozi shukran sana,kama umeingia kichwani kwangu, Nina heka zinakaribia 40 zimebaki ukitoa nilizopanda korosho nataka nianze mchakato wa kupanda minazi, unajua kiongozi uwekezaji ni vita,ufe au upone ila watu wengi wanachukulia simple sana, angalizo kama mtu una roho nyepesi ya kutaka matokeo mapema usijiingize kuwekeza kwenye mazao ya kudumu ya muda mrefu, ni Bora ukajihusisha na mazao ya muda mfupi,kama vile,nyanya,ufuta,mpunga,maharage,n,k
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Ni Wilaya ya Buhingwe Kigoma hukomanyovu ni moro mkuu?
Kiongozi shukran sana,kama umeingia kichwani kwangu, Nina heka zinakaribia 40 zimebaki ukitoa nilizopanda korosho nataka nianze mchakato wa kupanda minazi, unajua kiongozi uwekezaji ni vita,ufe au upone ila watu wengi wanachukulia simple sana, angalizo kama mtu una roho nyepesi ya kutaka matokeo mapema usijiingize kuwekeza kwenye mazao ya kudumu ya muda mrefu, ni Bora ukajihusisha na mazao ya muda mfupi,kama vile,nyanya,ufuta,mpunga,maharage,n,k
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Kabisa kila la kheri kwa mtoa mada
Natafuta mashamba ya kununua kaka. Huko moro yakoje yakoje na yanauzwajeTafuta shamba lima embe dodo zile za miaka mitatu au migomba ya ndizi.
Njoo moro nikuonyeshe