Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

Kwasababu ya dini ndo asitimuliwe!?au kumtafutia kimada mwingine?

dini hairuhusu kabisa aisee halafu anasema akiondoka kukimshinda atakuja kuomba msamaha, hivyo hata ukitimua kuna kurudi. Kikubwa labda kutimuliwa mbele ya mashahidi.
 
Huo ni msalaba wako uvumilie tu ulivo au ka chini umpe ukweli kuhusu tabia yake ya ulalamishi mda wote kuwa ni mbaya
 
Isitoshe kama bado hajakuwa hakikua hataacha tena ni kama jobless yupo home full time? Kama ndio mtafutie kazi ya kufanya
 
Huo ni msalaba wako uvumilie tu ulivo au ka chini umpe ukweli kuhusu tabia yake ya ulalamishi mda wote kuwa ni mbaya

ndo hivo anakuambia unamkoromea huku ukiongea nae anakuambia ongeza sauti sikusikii ila atakujibu unanikoromea.
 
Isitoshe kama bado hajakuwa hakikua hataacha tena ni kama jobless yupo home full time? Kama ndio mtafutie kazi ya kufanya

ngumu kumtafutia mtu kazi ambaye hayuko tayari kutafuta kazi dunia ya leo, sawa na kumwombea mgonjwa asiye na imani.
 
Kweli nimeamini, kila mtu anapewa kutokana na uwezo wake wa kustahamili mambo. Katika vitu vinanikera ni kuishi na mtu wa aina hiyo, utatamani kuhama nyumba coz hakuna amani. Yaani kuangalia tu TV iwe nongwa, au kulalama tu ovyo kwa kila utendalo..mmmh...
..I thank God for giving me such a humble woman...! Hanaga ujinga wa kitoto kitoto...
 
ngumu kumtafutia mtu kazi ambaye hayuko tayari kutafuta kazi dunia ya leo, sawa na kumwombea mgonjwa asiye na imani.

Kama ni hivyo mean kuna kitu ulikosea mipango ya pamoja ya kuinuka kiuchumi kwa kufanya kazi pamoja may be ulijifunga commit kumhudumia kila kitu ulitumia nguvu nyingi kumshawishi
 
Vunga kama hujali, kuw kimya ufanye mambo yako binafsi bila kuhitaji msaada wake atajisogeza karibu yeye tu siku si nyingi
 

Yani wewe...umeoa?
 

Happy sabath's day...sijui ndo inaitwa hivyo kweli
 
Pole sana mkuu sirluta kwa yaliyokusibu. Kutokana na maelezo yako inaelekea huyo mke wako si tu mgomvi bali ni pia ni mbinafsi asiye na utii wala adabu. Kuna msemo wa wazungu unaosema "Sometimes people do not learn until they are taught a lesson." Kama umejaribu kukaa naye chini na kumuelezea jinsi usivyopendezwa na hiyo tabia yake na akashindwa kubadilika basi kilichobakia ni kumfanyia kitu ambacho kitampa mfunzo na kumfanya abadilike. Muonjeshe ili naye aone jinsi unavyoumia anapokufanyia tabia zake za ajabu ajabu.

Wakati mwingine wanawake huanzisha tabia kama hizo wakishagundua kuwa wanapendwa na wala huwezi kufanya lolote basi anaamua kukufanyia visa. Be strict na usiwe mtu wa kutumbishwa. Angalia usije ukawa kama yule mtu aliyemruhusu ngamia kusitiri kichwa chake kwenye kibanda chake wakati mvua inanyesha mwisho wa siku akajikuta yeye yuko nje ananyeshewa namvua na ngamia yupo ndani ya kibanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…