[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamanii
Kaka kesho ntakutuma!!kiroho safiKwa upendo tu dada yangu...
Ndo mbinu yaoMwizi wako alikubana na inawezekana walikuwa wawili mbele na nyuma kwa hiyo wewe ulichukulia ile kubanwa ni kawaida lkn kumbe ndio ilikua chance kwa kaka jambazi
Hiyo suruali itakuwa ni mlegezo halafu mfuko upo kwenye magoti.Mfuko wa mbele..jeans!?? dah basi wewe husaidiki! Labda usiende Kariakoo kabisa
[emoji13] [emoji13]We unaibiwaj kiboya ivyo
Tatizo mnadhani kuibiwa ni kwa sababu ya ugeni wa eneo husika....Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Haaaaa umenikumbusha mbali saana kuna jamaaa alikuwa ananifuatilia tokea kariakoo hadi posta nilikuwa na mzigo wa maana upo katika begi nilichofanya ni kumchezea akil za kimjin mjin alichokipata had leo atakuwa anasimulia huko alikoWakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.
Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.
Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
Mikono miwili HAHHAHAhapo mm pia nimeshangaa, na sisi tunatoa tumia mifuko ya nyuma kuweka wallet inakuaje!!
either jeans yake ilikua kubwa sana au wallet ilikua ipo loose sana, mm jinsi wallet yangu ilivyojaa maCards yani imetuna nikiweka mfuko wa nyuma kuitoa lazima nitumie mikono miwili [emoji23][emoji28][emoji23]
pole yake asee.....ila kwa mfuko wa mbele ni uzembe, hushituki chief [emoji20][emoji20][emoji20]
Ndio nlipanda ila nakumbuka nlishuka nayo coz nlifanya manunuz pale kariakoo vochaAu ulipanda mwendokadi
Huo ndio mwendo wa kutembea maeneo yote ya pale kariakoo ukizubaa teyar ushariaHio kwenye begi aweke ndani ya mfuko mdogo labda ila kuweka tu ndani ya begi mbaya haswa msimbazi pale nashuhudia sana watu wakifunguliwa begi na mie nilimdaka mmoja akitaka kunifungulia tena nilimdaka sabb ile njia najua tabia zao nilikuwa onguard muda wote nikitizama side mirror
Tatizo mnadhani kuibiwa ni kwa sababu ya ugeni wa eneo husika....
My point was (is).. ugeni ni sababu, lakini siyo pekee... mfanoUgeni ni sababu kubwa. labda usemwe ulipigwa ngeta kidogo.
Ila kuna mdau ameongea kitu nikahisi kweli, huenda mtoa mada ni wale wanavaa suruali kwenye magoti (mlegezo), kwa staili hiyo mtu kuingiza mkono 'mfuko wa mbele' wa JEANS na kutoka na wallet ni jambo jepesi. Au jeans yake ina mifuko kama suruali ya kitambaa...?
My point was (is).. ugeni ni sababu, lakini siyo pekee... mfano
1. Ngeta haina ugeni..
2. Kuvamiwa hakuna ugeni...
Na mara nyingi, wanaoibiwa kwa sababu ya ugeni, ni wale ambao wao ndo wanajiona wajanja huko walikotoka...
Respect kiongoziI concur with you sir!
Ilikuaje mkuu?? HahahahHaaaaa umenikumbusha mbali saana kuna jamaaa alikuwa ananifuatilia tokea kariakoo hadi posta nilikuwa na mzigo wa maana upo katika begi nilichofanya ni kumchezea akil za kimjin mjin alichokipata had leo atakuwa anasimulia huko aliko
Ila broo kuwa makin hela atuweki katika walett now days