Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Tatizo mnadhani kuibiwa ni kwa sababu ya ugeni wa eneo husika....
 
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.

Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.

Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
Haaaaa umenikumbusha mbali saana kuna jamaaa alikuwa ananifuatilia tokea kariakoo hadi posta nilikuwa na mzigo wa maana upo katika begi nilichofanya ni kumchezea akil za kimjin mjin alichokipata had leo atakuwa anasimulia huko aliko

Ila broo kuwa makin hela atuweki katika walett now days
 
hapo mm pia nimeshangaa, na sisi tunatoa tumia mifuko ya nyuma kuweka wallet inakuaje!!

either jeans yake ilikua kubwa sana au wallet ilikua ipo loose sana, mm jinsi wallet yangu ilivyojaa maCards yani imetuna nikiweka mfuko wa nyuma kuitoa lazima nitumie mikono miwili [emoji23][emoji28][emoji23]

pole yake asee.....ila kwa mfuko wa mbele ni uzembe, hushituki chief [emoji20][emoji20][emoji20]
Mikono miwili HAHHAHA
 
Hio kwenye begi aweke ndani ya mfuko mdogo labda ila kuweka tu ndani ya begi mbaya haswa msimbazi pale nashuhudia sana watu wakifunguliwa begi na mie nilimdaka mmoja akitaka kunifungulia tena nilimdaka sabb ile njia najua tabia zao nilikuwa onguard muda wote nikitizama side mirror
Huo ndio mwendo wa kutembea maeneo yote ya pale kariakoo ukizubaa teyar usharia
 
Ila mi pesa nawekaga kweny mifuko ya sidiria kweny mkoba najaz vipodozi tu
 
Tatizo mnadhani kuibiwa ni kwa sababu ya ugeni wa eneo husika....

Ugeni ni sababu kubwa. labda usemwe ulipigwa ngeta kidogo.

Ila kuna mdau ameongea kitu nikahisi kweli, huenda mtoa mada ni wale wanavaa suruali kwenye magoti (mlegezo), kwa staili hiyo mtu kuingiza mkono 'mfuko wa mbele' wa JEANS na kutoka na wallet ni jambo jepesi. Au jeans yake ina mifuko kama suruali ya kitambaa...?
 
My point was (is).. ugeni ni sababu, lakini siyo pekee... mfano
1. Ngeta haina ugeni..
2. Kuvamiwa hakuna ugeni...

Na mara nyingi, wanaoibiwa kwa sababu ya ugeni, ni wale ambao wao ndo wanajiona wajanja huko walikotoka...
 
Kuna mbinu moja alinifundisha mwingereza mmoja na kwa sehemu kama kariakoo nikifika mimi huwa naweka simu na wallet mifuko ya suruali ya nyuma hapo hata kibaka lazima ajipange maana atajua kuwa mpaka akaniwekee nyuma anajiamini.
 
Haaaaa umenikumbusha mbali saana kuna jamaaa alikuwa ananifuatilia tokea kariakoo hadi posta nilikuwa na mzigo wa maana upo katika begi nilichofanya ni kumchezea akil za kimjin mjin alichokipata had leo atakuwa anasimulia huko aliko

Ila broo kuwa makin hela atuweki katika walett now days
Ilikuaje mkuu?? Hahahah
 
Nunueni electronic wallet.... Zina alarm, pia zina GPRS na Camera... Pia sehemu ya kuwekea na kutolea PESA kuna finger prints password.... Kazi kwako
 
Back
Top Bottom