Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
SureNyie mnaojifanya wajanja ndo mnaoibiwa kiulaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureNyie mnaojifanya wajanja ndo mnaoibiwa kiulaini
Hayajakufika mkuu...otherwise wewe uwe mwanajeshi wa jeshi hilo hilo.Nikwambie tu kuwa mimi kkoo ninazunguka sana, sio kuibiwa, hata kupoteza 100 sijawahi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wale watu noma bwanaMfuko wa mbele..jeans!?? dah basi wewe husaidiki! Labda usiende Kariakoo kabisa
Sometimes wanatumia mbinu gani sijui, kulaumu ni basi tu.hapo mm pia nimeshangaa, na sisi tunatoa tumia mifuko ya nyuma kuweka wallet inakuaje!!
either jeans yake ilikua kubwa sana au wallet ilikua ipo loose sana, mm jinsi wallet yangu ilivyojaa maCards yani imetuna nikiweka mfuko wa nyuma kuitoa lazima nitumie mikono miwili [emoji23][emoji28][emoji23]
pole yake asee.....ila kwa mfuko wa mbele ni uzembe, hushituki chief [emoji20][emoji20][emoji20]
Ha ha ha...ungeedit tu.Mwendokasi( kabla wakosoaji hawajaja)
Ila hapo kwenye kujaa cards mmh[emoji3] [emoji3] [emoji3]hapo mm pia nimeshangaa, na sisi tunatoa tumia mifuko ya nyuma kuweka wallet inakuaje!!
either jeans yake ilikua kubwa sana au wallet ilikua ipo loose sana, mm jinsi wallet yangu ilivyojaa maCards yani imetuna nikiweka mfuko wa nyuma kuitoa lazima nitumie mikono miwili [emoji23][emoji28][emoji23]
pole yake asee.....ila kwa mfuko wa mbele ni uzembe, hushituki chief [emoji20][emoji20][emoji20]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we noma naona umeipa mikono kazi ya guardMimi nikiwa mjini kila baada ya sekunde moja mkono unakua umegusa kitu cha thamani nilicho nacho..
Yaani nikirusha mikono kutembea mkono mmoja ukirudi unagusa kwenye wallet na simu... mpaka leo sijawahi ibiwa hata 100...
Lkn kariakoo hakuna mbabe labda uwe mwizi ndio hautaibiwa lakini raia wa kawaida ni kwa neema tu
Kuwa serious unapoingia kkoo na usikubali kusongwa na mtu pia mwendo uwe mkali daaah umenikumbusha 2009Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.
Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.
Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
HahaahaWeka kiwembe juu juu
Mie huwa nina begi langu mgongoni naweka kiwembe kabisa
Wakigusa wanakutana nacho
Jamaa ni ma expert,mimi nilichomolewa simu kwenye mfuko wa shati,tena ni muda kama wa dkk 2 nilikuwa nimetoka kujishika ili kukagua kama ipo,ile naingia kwenye taxi simu haipo,yaani mpaka leo sijiui ilitokaje ile simu,unaweza hisi ni ushirikina lakini wapi inafanyika kitaalamu sana...Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.
Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.
Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
Hahahahaha my footage u cracking my ribsElfu 80 pesa ya kitanzania unaweka kwenye wallet?Hiyo Si pesa kidogo tu ya kuweka kwenye mfuko wa shati hapo mbele!Na kama una T-shirt weka tu mfuko wa suruali,wallet zinatunza card za bank dolar na vitu kama hivyo..si hii pesa ya madafu!
Sure.[emoji2] [emoji2] [emoji2] wale watu noma bwana
Haya ni moja ya mateso ya kuishi Dar,huku mikoani maisha ni raha sana...Mimi nikiwa mjini kila baada ya sekunde moja mkono unakua umegusa kitu cha thamani nilicho nacho..
Yaani nikirusha mikono kutembea mkono mmoja ukirudi unagusa kwenye wallet na simu... mpaka leo sijawahi ibiwa hata 100...
Lkn kariakoo hakuna mbabe labda uwe mwizi ndio hautaibiwa lakini raia wa kawaida ni kwa neema tu
hii yako kali ila aujaibiwa we umenunua blauz mbayaMi nilinunua nguo vi brauz nilivion vzr kweli pale banana tu ukonga cha ajabu Kila nikichagua nazid kuzion nzuri mno nikanunua mzigo mzima brauzi 45 ivi kwajil ya kuvaa nikatoa pesa kufik home uwez amini brauz zote ni manyalunyalu wakat nilizijalibu afu nikashtuka why nimenunua brauz nying ivi
Jaman watu wachawi sana wanatumia dawa aseeee dah nilijikuta nalia