Kazi ni kazi ,mbaya kuiba tu."Vijana wa makamo,kipindi cha pili kinakaribia kuanza "
TUPEANE RAMANI YA ZILE KAZI AMBAZO ZINAZALAULIWA LAKINI ZINAE KIBUNDA
AI naibeba kama ilivyoKwa hizi kazi zifuatazo kutoboa ni fasta tu:
1. Kuokota makopo na chupa za plastic
Hii kazi huitaji mtaji ni nguvu yako na gunia chafu chafu tu.
2. Ombaomba
Hii nayo kutusua ni fasta tu. TAFUTA kijiwe chenye watu wengi; vaa miwani nyeusi tii na nguo chafu chafu.
Weka kopo lako la sadaka na fimbo nyeupe hapo ulipokaa. Mchezo umeisha.
Ukikosa 200k ni bahati mbaya.
3. Anzisha kanisa feki
Hapa ndiyo utapiga pesa za wajinga balaa.
Soma mistari ya bibilia vizuri hasa ile inayosema Mungu ni kila kitu- yaani: ukitaka nyumba, mke/mume mzuri, pesa, gari, etc muombe Mungu
Baada ya ibada Uzia wajinga hao maji, mafuta na hata chumvi ya upako. Kijiko kimoja cha chai bei isipungue elfu kumi.
Baada ya mwezi tu hiyo mihela utakayokuwa umepiga unaitumia kutafuta kiwanja mbweni au masaki ujenge hekalu.
4. Tumia AI Kupiga pesa za wajinga
Hapa ndiyo unapiga pesa na wasomi uchwara.
Tumia AI kuwaandikia watu business plan, theses, resume,....data analyses and interpretation.
Wewe gharama yako ni kuvaa tai, kiatu mchongoko, suruali na shati safi baaasi...mihela itakuja tu.
Ukiona vipi nitafute nikupe michongo ya kupiga hela.
Kwa hapa bongo kuwa masikini ni kujitakia.
Muhimu pesa zarau nyingi mjiniKuna binti mdogo kabisa ni mortuary attendant kwa kuangalia muda aliomaliza form four hazidi miaka 22. Hua najiuliza aliona nini huko
Hawa wanalalamika ajira za upendeleo!! Nilishangaa sana nilipoona hiyio habari.Kasomee kufanya kazi mochwari,utatajirishwa sana na washirikina
Ana Certificate ya UloziKuna binti mdogo kabisa ni mortuary attendant kwa kuangalia muda aliomaliza form four hazidi miaka 22. Hua najiuliza aliona nini huko
Hao nani?Hawa wanalalamika ajira za upendeleo!! Nilishangaa sana nilipoona hiyio habari.
Siwapendi hao watu, yani kazi ya laana kupiga teke chakula, kishika vitu vya watu yani shida tupu, Kuna mgambo alijipeleka kiherehere kuokota nguo za machinga, eti ameweka sehemu isiyo sahihi, asee ile kainama anakusanya alikula teke zito, haaaaaaahhahah😆Mimi ni mgambo wa Halmashauri! Maisha ni uhakika hapa nilipo. Overtime kama zote! DED akipita getini sikosi hela ya kupigia maji. Wakati wa mitihani, uchaguzi, mikutano ya hadhara, nk hatukosi 200 ya kununulia mboga!
Nawashauri vijana wenye afya nzuri wafanye mafunzo ya mgambo ili waingizwe kwenye hili jeshi letu la akiba.
Siku moja tulifuata maiti motuary ya Police Kilwa road,Pale motuary dada tuliemkuta kama motuary attendant ni mrembo , nilijiuliza maswali, hivi dada kama huyu anawezaje kufanya kazi ile?Kuna binti mdogo kabisa ni mortuary attendant kwa kuangalia muda aliomaliza form four hazidi miaka 22. Hua najiuliza aliona nini huko
Motuary attendant graduates wa Bugando 2025.Hao nani?